Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Kil
Kilichojipa na sio kupewa ridhaa.
Vipi umeshakuwa mshauri wa Lissu. Unafiki 100%
 
Mwambieni huyu romelu lukaku mwaka huu tumbo la uzazi lazima limcheze likiambatana na kichefuchefu cha mara kwa mara. Chuki humchoma anayeihifadhi.
 
4R za mwanzo zina matokeo yoyote ya maana ? Kuna taarifa wazi ya hizo 4R ?
 
Wewe hupati hata utendaji wa kijiji acha kujisumbua
 
..Katiba Mpya na bora ndiyo itakayoweka mazingira wezeshi kwa Watanzania kufikia vipaumbele vyao.
Kwa Sasa mazingira ni mazuri sana na wezeshi kumuwezesha kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa kutimiza ndoto zake
 
CCM mnajidanganya sana mnajua njia mnazotumia kubaki madarakani siyo za halali, lakini mnajpa ujasiri kwakuwa vyama vya upinzani vyenyewe havina nguvu ya kutosha. Pamoja na hayo CCM inatumia lasilimali kubwa sana ya nchi kufifisha nguvu ya upinzani kuliko kuleta maendeleo ya nchi, ipo tayari iuze kila kitu ktk nchi hii ili ipate fedha tu za kujihakikishia kinabaki madarakani. CCM hakipangi mikakati ya kisiasa kushinda uchaguzi na kendesha nchi bali inapanga siku zote mikakati ya nje ya Boksi hata kama, kuna sehemu wako vizuri, hii mipango ya ujanja ujanja inamwisho, iitafika wakati hata hivyo vyombo vya dola mnavyo vitegemea vitawachoka na kukaa pembeni vikiangalia tu mtanange unavyo kwenda na mda huo hauko mbali. Yote kwa yote CCM ni chama kilicho jipanga vizuri ngazi zote za kichama ila siku kwa siku kinapungua ushawishi kwa wananchi kwa sababu ya kuwapuuza kwa kuwaona kuws hawana ubavu wa kuwafanya chochote, vyama vya siasa unaweza ukavinunua vyote au ukawafunga magerezani viongozi wake hata ukawaua navyo vikakaa kimya ila vugu vugu la wananchi wenyewe wakichoka wakidai jambo lao ni baya sana kuliko kitu chochote, Barabar, maji, mashule, mahospitali ni vitu ambavyo hata nchi zilizoendelea vipo ila nini Huw kinasababisha viongozi, kuondolewa. Kikubwa ni jinsi gani kiongozi anavyo wachukulia watu wake na haiba anayoionyesha kivitendo. Kwa mfano kwa sasa Kongo kuna mauaji ya vijana wanaitwa kuruna, Rai na jopo lake wanaweza wakaona kuwa ile ni njia nzuri ya kumaliza uhalifu nchini kongo, lakini pamoja wale vijana ni wahalifu wakupitiliza, bado wanachi wanajiuliza nini hasa kimetokea mpaka kukawa na wimbi kubwa hivi la uhalifu. Jibu ni moja tu serikali imeshindwa kuweka mikakati bora ya mipango ya vijana kwahiyo vijana wanajitengenezea wenyewe mipango yao kwenye nchi. Serikali bado itabeba lawama kwa vitendo vyote vya kurana,
 
Huwa si comment sana kwenye thread zako, but bro/sister uache fikra finyu siku nyingine uthamani wako utaonekana, umekaa kabisa chini huku jasho la kwapa linakutoka umeandika hili jambo. Sasa kwa taarifa hata CCM wenyewe hawaitaki CCM kwenye kuingoza nchi tena nao wanataka mabadiliko.

Ukisema CCM ndo teule kuongoza nchi hii, kaa nao meza moja wewe halafu waambie jamani hebu tufanye uchaguzi uwe huru kabisa na wa haki pasi na sisi kuingilia chochote no goal la mkono, tume iwe huru, kura zihesabiwe kihalali, na tuwaache wanachi waamue wenyewe wanataka Chama kipi kiwaongoze.

Uje utujibu hapa kama mtatekeleza hayo.

Jipige kifua mara 3 kwamba unataka mabadiliko wakishindwa mtarudi uongozi wenye nchi yenu mjidai
 
Usiifanye ccm kuwa na kiburi na majivuno ya namna hiyo kwa kuwa ni chama dola. Kiburi ni kibaya mno utaangusha chama na usijue kimeangukaje. Ccm ijibu hoja kwa weledi na si kwa kiburi na majivuno kama unavyoakisi kipo tayari kukabiliana na lissu kwa namna atakavyokuja
 
CCM tutamkabili na kukabiliana na lissu kwa namna atakavyokuja uwanjani
 
kiburi hichi huangusha
 
Ni maridhiano ndio yalifungua mirango ya kuanza kufanyika kwa mikutano ya hadharani kwa vyama vya siasa. Ni hayo hayo maridhiano ndio yaliwarejesha Nchini lissu na lema na mengine mengi sana.
mikutano ni haki iwepo si hisani, yule mwingine aliifuta kibabe, ubabe una mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…