Marekani na Iran ni mataifa yenye historia ndefu ya uhasama mkali wa kisiasa, kiuchumi na kiitikadi kwa zaidi ya miongo minne.Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979, uhusiano wa nchi hizi mbili umegubikwa na vikwazo, vitisho vya vita, na diplomasia ya viwiko.
Pamoja na tofauti zao...
Mwanasiasa Godbless Lema ameweka wazi msimamo wa CHADEMA kuhusu mazungumzo ya maridhiano, akieleza kuwa chama hicho hakijakataa kuzungumza na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wala Serikali, bali kimeweka masharti makuu mawili kabla ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo:
"CHADEMA haijakataa kuongea na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila uwepo wa mpatanishi wa kimataifa (mediator) asiyekuwa na upande, akitolea mfano wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu...
Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa ni masharti ambayo CCM walitakiwa kufanya kabla ya kuingia kwenye maridhiano.
Pia soma: Pre GE2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.