Lema: CHADEMA haijakataa kuongea na Serikali ila imetoa masharti kabla ya kuongea na Serikali

Lema: CHADEMA haijakataa kuongea na Serikali ila imetoa masharti kabla ya kuongea na Serikali

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Mwanasiasa Godbless Lema ameweka wazi msimamo wa CHADEMA kuhusu mazungumzo ya maridhiano, akieleza kuwa chama hicho hakijakataa kuzungumza na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wala Serikali, bali kimeweka masharti makuu mawili kabla ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo:

"CHADEMA haijakataa kuongea na serikali. CHADEMA imetoa masharti ya kuongea na serikali. Masharti yao: namba one, Lissu awe huru; namba two, tume huru, kamisheni huru kuhusu maridhiano. Hivi vitu vikiwa tayari... chama kikienda kuongea, maanake serikali itakuwa imepita kwenye zile kondisheni mbili ambazo za msingi"

 
Back
Top Bottom