Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Mimi ni mkulima na hiyo ndio shughuli yangu. Na wala sihitaji kazi ya kuandika vitabu. Labda kama unataka nikuandikie kitabu cha kuelezea historia ya Maisha yako matatizo uliyokumbana nayo mpaka kuchanganyikiwa akili.
we jamaa wa kitengo cha propaganda ni noma!
 
Lissu mbishi, Lissu mgumu, Lissu msumbufu, Lissu genius. Hizi ni sifa muhimu sana kwa kiongozi wa upinzani hasa kwa Tanzania ya sasa.

Nyumbu kama wewe ukienda na mtu kama Lissu kwa mihemko atakutoa knockout
ccm wamesema wana mtu wa kuwakingia kifua, yule mzee aliyeitwa a.k.a Tyson
 
Haiwezekani kondoo na fisi wakaitana kikaoni.Fisi atajidai rafiki pale tu ameshiba na kuvimbiwa na sii vinginevyo.
 
Watanzania gan unaowazungumzia chief ? anzia jf kupata maoni kuhuxu chama chako then nenda kwa mwananchi ambae haijui hata jf kusanya maoni kuhuxu chama chako sema mnaandka hizi ngonjera mkiwa wapi au ndo vile ukwel mnaujua ila hakuna namna.
anaandikha kupalilia ugali wake
 
Sijui ni nani wewe! Uliandika sana negative kwa lissu matokeo ukashindwa, huoni kuwa utashindwa tena? Creditibility ya uandishi wako imeshuka sana pakubwa, unaonekana unaandika upupu tu na huna aibu
 
Mazungumzo yenye tija ni yale yanayotokana na misuguano mikali. Mbowe mlimuona mjinga sasa Lissu hawezi kurudia huo ujinga.

Kama ni kuua watu kwa risasi na mabomu, ueni ila mwisho wenu upo..
 
Mazungumzo yenye tija ni yale yanayotokana na misuguano mikali. Mbowe mlimuona mjinga sasa Lissu hawezi kurudia huo ujinga.

Kama ni kuua watu kwa risasi na mabomu, ueni ila mwisho wenu upo..
Basi ngoja tuupe muda nafasi tuone kama atafanikiwa kwa lolote lile kwa kutumia nguvu
 
Kama walivyokosa yote kwenye Bunge la Katiba kwa mihemko yao wakati kulikua kuna mambo mengi mazuri tu.
 
Kapakuliwe huko si ulisema Hatoshinda?kaa kwa kutulia na huyo anaekutosha mbuzi wewe
 
hakuna lolote ccm waliokaa nao mezani walifanikiwa kwa lipi zaidi ya kula rushwa tu
 
ccm imeshakufa kwa sasa tuna mazungumzo na polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…