Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Sasa mnataka kukaa vipi na mtu mliyesema ana faili Mirembe? Iweje wewe leo utake afanikiwe kwa lolote lile? Si ndio ulikuwa unaomba asishinde, ni bora mu mwache ashindwe mbubujikwe na machozi ya furaha.
 
Chadema wakati wa Mbiwe ilikaa na CCM mezani, nini cha kujivunia wanacho mpaka sasa.
 
Kumbe ni kufanikiwa kwa lissu na serikali yake peeke na sio wananchi kwa ujumla tena ni lazima akae na ccm WTF nyie wazee mnatuchosha sasa
 

Hapa ndo uwa tunasema kitanda hakizai haramu
 
Unaendelea kupost UHARO WA DENGU na MTORI🤔🤔🤔😅😅🤣🤣
 
Tunaweza kuapia kwa uhai wa wazazi na wanao kuwa ccm ilipewa ridhaa na watanzania??
 
Bora asifanikiwe kuliko kukaa meza ya mazungumzo na ccm walaghai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…