Lissu: Chadema kipo kibra na M/kiti hana ushawishi tena ndiyo maana hata anapoitisha maandamo ni yeye na binti yake wanahudhuria

Kuna wakati wananchi waliwahi kuandamana? Hakuona wale walioonyesha nia ya kuandamana wanavyoshughulikiwa?
Angalau amekiri kuwa Mbowe na binti yake aliandamana.
Natumaini mojawapo za hatua za kwanzo atakazo chukua ni kuitisha maandamano. Tutaona muitikio wa wale ambao anasema hawana imani na Mbowe utakuwaje.

Amandla...
 
Weka Ile Clip
 
Yaani hukuwahi kushuhudia mwitikio wa WANANCHI kwenye maandamano ya Chadema?

Ulikuwa wapi Slaa na wenzake walipokuwa wakiungwa mkono na mamilioni ya WANANCHI barabarani kudai mabadiriko?
 
Aliekuwa analilia maandamano ni Lissu au mwenyekiti.

Maandamano alilie yeye, baada ya kudoda amlaumu mwenyekiti.

Na mikutano yake iliyokuwa inadoda ni mwenyekiti pia wa kulaumiwa.
 
Tangu lini nyinyi ccm muwe na uchungu na nchi hii..?
 
Yaani hukuwahi kushuhudia mwitikio wa WANANCHI kwenye maandamano ya Chadema?

Ulikuwa wapi Slaa na wenzake walipokuwa wakiungwa mkono na makumi ya WANANCHI barabarani kudai mabadiriko?
Makumi? Ndio unajisifia? Na wakati ule hapakuwa na mazoezi ya usafi yakifanyika?

Amandla...
 
...na hali ya ushawishi wa chadema itakuwa mbaya zaidi mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti, itakuwa kama cuf ya lipumba!!.
 
Mipasho imekua mingi sana
 
Lisu sasa anaehuka

Maandamano yanaitishwa na chama sio Mbowe

Toka lini Mbowe kama Mbowe akaitisha Maandamano?
 
Lisu sasa anaehuka

Maandamano yanaitishwa na chama sio Mbowe

Toka lini Mbowe kama Mbowe akaitisha Maandamano?
Watu wanasaka kura kwa hisabati yeye kutwa kucha anabwabwaja mitandaoni - akipatanl kura 7 asingizie oohh Mbowe kahonga wajumbe wotee pamoja na yeye.
 
Siku chache zimebakia karibu itajulikana mbichi au mbivu
 
Siku chache zimebakia karibu itajulikana mbichi au mbivu
Kabisa
Zimebaki siku chache tu Lisu ashindwe vibaya kwenye uchaguzi atokomee zake ubelgiji kwa mabeberu wake kwa aibu kubwa baada ya kushindwa vibaya mno kwenye uchaguzi
 
Usiwe boya mengine wanachomekea tu hamna sehemu lisu kaongea hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…