Pre GE2025 Lissu, CHADEMA na watanzania wenye mapenzi mema tusisubiri hadi Oktoba ikaribie, wakati ni sasa

Pre GE2025 Lissu, CHADEMA na watanzania wenye mapenzi mema tusisubiri hadi Oktoba ikaribie, wakati ni sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Tutakuwa tumechelewa sana tukisubiri hadi October ifike. Kuiondoa CCM madarakani hakuhitaji mazungumzo bali nguvu ya wananchi mitaani. Lissu na CHADEMA mtupe miongozo kazi ianze mara moja.
 
Kweli kazi ianze ,tumepoa sana ,Mbowe siasa zake zilikuwa za maridhiano zimetuchelewesha sana...Mwezi umepita sijaona movement yeyote.
 
Kweli kazi ianze ,tumepoa sana ,Mbowe siasa zake zilikuwa za maridhiano zimetuchelewesha sana...Mwezi umepita sijaona movement yeyote.
Sawa yawezekana TAL ndio asifanye chochote kabisa. Ila tusaidiane.
 
Sawa yawezekana TAL ndio asifanye chochote kabisa. Ila tusaidiane.
Asifanye chochote kivipi wakati aliahidi kwenye kampeni? Sasa asipofanya chochote atakuwa tofauti gani na Mbowe ambaye alimlalamikia? Atekeleze aliyoyaahidi.
 
Back
Top Bottom