Tutakuwa tumechelewa sana tukisubiri hadi October ifike. Kuiondoa CCM madarakani hakuhitaji mazungumzo bali nguvu ya wananchi mitaani. Lissu na CHADEMA mtupe miongozo kazi ianze mara moja.
Asifanye chochote kivipi wakati aliahidi kwenye kampeni? Sasa asipofanya chochote atakuwa tofauti gani na Mbowe ambaye alimlalamikia? Atekeleze aliyoyaahidi.