Pre GE2025 Lissu: CHADEMA tumekamatwa sana tangu enzi za Mkapa, hajawahi tokea kiongozi wa CCM kusema tuachiwe

Pre GE2025 Lissu: CHADEMA tumekamatwa sana tangu enzi za Mkapa, hajawahi tokea kiongozi wa CCM kusema tuachiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
"....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia zaidi kwamba sheria ichukue mkondo wake.”

Lissu akihojiwa Crown na Kikeke.

Maoni yangu: Haya kina Bavicha endeleeni kukipambania Chama.

Soma Pia: Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA

 
Back
Top Bottom