"....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia zaidi kwamba sheria ichukue mkondo wake.”
Lissu akihojiwa Crown na Kikeke.
Maoni yangu: Haya kina Bavicha endeleeni kukipambania Chama.