Mbowe atapata wapi guts za kusema kweli wakati yuko madarakani kwa shuruti na kashakula hela ya ccm?Mdude_Nyagali yeye anakopi anayoyasema Tundu Lissu. Kwani unewahi kumsikia Mbowe anaropoka?
Wafanye uchaguzi kureplace mwenyekiti na katibu then wasonge mbeleInavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.
Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.
'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
Wacha wajifariji Leo wajishindishe,. Tukichukuannchi 2025 itabidi uchaguzi wa mitaa urudiwe wakati huo kifua kipana atakuwa jelaLissu yuko sawa.
Kwa aina hii ya siasa za polepole hayo majambazi ya CCM hamtowamudu.
Hebu fikiria ushenzi tuliouona kuanzia uandikishaji, kuchukua fomu, kurudisha fomu na uenguaji wagombea wa Chadema.
Chadema inaendaje kushiriki huo ushenzi uliobandikwa jina la uchaguzi ambao unaona kabisa mkwe wa rais amecheza na script ya maagizo ya mkwewe?
Lissu yuko sawa.

Lisu sio mjinga, hawezi kujifanya anajali uchaguzi ambao umejaa hujuma za wazi na kishenzi.Lissu na ubinafsi wake hajali huu uchaguzi wa serikali za mitaa maana yeye hagombei. Anasema tujipange upya kwa vile 2025 apete. Kwanini kama kuna mapungufu wasiombe zoezi kurudiwa
Umenisoma kweli?Lisu sio mjinga, hawezi kujifanya anajali uchaguzi ambao umejaa hujuma za wazi na kishenzi.
Nimekusoma sana lakini sioni hata unapendekeza nini. Watu wanaharibu uchaguzi kwa makusudi, ww unasema waombe walicharibu kwa makusudi kurudiwa?Umenisoma kweli?
Naona Lissu anaendesha mambo ya chama kama anavyofanya shughuli zake binafsi. Anatoa tamko kwamba huu uchaguzi wa mitaa chadema tumeshashindwa asubuhi tu.
Ametumwa na kikao kipi cha chama kutoa kauli hizo za kutangazia umma kwamba Chadema imepigwa uchaguzi wa mitaa. Nadhani huu ni ushahidi Lissu anatumika na maadui wa Chadema.
Ni kweli kwa 100%Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.
Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.
'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
Naona Lissu anaendesha mambo ya chama kama anavyofanya shughuli zake binafsi. Anatoa tamko kwamba huu uchaguzi wa mitaa chadema tumeshashindwa asubuhi tu.
Ametumwa na kikao kipi cha chama kutoa kauli hizo za kutangazia umma kwamba Chadema imepigwa uchaguzi wa mitaa. Nadhani huu ni ushahidi Lissu anatumika na maadui wa Chadema.
Ndio niko hapa nafanya maisha yangu katika siasaBraza fanya maisha yako haya mambo ya siasa waachie wana siasa
mambo ya ccm waachie ccm wenyewe hayakuhusuMnajaribu kufanya damage control eh
Lissu kama mwanachama ana haki ya kutoa maoni yake kama raia na mwanachama huo haukuwa mkutano wa chama.
Halafu CCM mbona hamna makamu mwenyekiti hadi leo tangia Kinana alazimishwe "kujiuzulu" kama Ndugai.