Kabisa. Kupitia wapuuzi kama hawa, Waislam wote tunaonekana majuha.Hawa ndio wanaudhalilisha uislam.
Kuna baadhi ya masheikh wakianza kuzungumza nasimama na kutoka kichwa chini, nasikitika kwa uwezo wa akili wa viongozi wetu... Wengi hawana uwezo wa kujiuliza how, why?
Huyu ni sheikh ubwabwa
Kazi tunayoTanganyika imejaa wapuuzi wengi sana
Hivi hii si madhabauni
Yaani wanatudhalilisha saana.Kabisa. Kupitia wapuuzi kama hawa, Waislam wote tunaonekana majuha.
Nchi ya kichawa kusifu kunapendwa zaidi .Sasa hizi sio siasa? Kwanini hafungwi huyu mpuuzi.
Hivi huyo shehe ubwabwa anachoongea hapo siyo siasa?!!!
Hiki ndio chanzo cha matatizo yote haya kwa hawa ndugu zetu. Elimu dunia ni Kitu Cha muhimu sana kwa dunia hii ya leoMasheikh wengi ni standard 7 hawajui kuchambua mambo mashehe ubwabwa
Sijui wanalipwa shilingi ngapi walahTanganyika imejaa wapuuzi wengi sana
Kuna wakati ukisema ukweli mtu badala ya kujibu anakimbilia kuita matusi . Hivi kusema watu wanatekwa ni matusi tangu lini. Mm ni mwislam ila nawachukia mashekhe sanasanafSamahani kusema kuwa huyu jamaa ni mpumbavu na hajui lolote. Gwajima amemtukana mama kivipi? Ni tusi au matusi gani amemtukana?
Vv
Wanaahidiwa vyeoSijui wanalipwa shilingi ngapi walah
Hahaha nakumbuka maisha ya halmashauri huko watu wanagalagala chini pindi mwenge ukija ili wapandishwe vyeo na kuwa wakuu wa idara au vitengo. Ujinga mtupuWanaahidiwa vyeo
Jamani hii nchi ngumu sana,ni lini
Jamani hii nchi ngumu sana,ni lini gwajima alimtukana rais,huu sasa ni zaidi ya uchawa huu sasa tuuite ukupe.