Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

Sheikh ubwabwa kalia hapa πŸ–•πŸΏ
Mjinga mmoja wewe peleka majini yako huko..!!
 
Lakini ukweli wenyewe ndio huu uliousema hapa. CCM huku ndiko iliko tufikisha kama nchi!
Kwamba mtu hawez kuwa mkuu wa idara au kitengo kama huna kadi ya chama cha ccm huko halmashauri. Soma usomavyo na jua ujuavyo hiyo ndiyo ccm
 
Sasa huyu ni Sheikh gani asiyetofautisha matusi na kupinga mambo maovu ?!. Amperage jukwaa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…