Lissu haelewi kuwa uchaguzi ndani ya CHADEMA uenyekiti ni mgumu kuliko ugombea Urais kachokoza eneo ambalo atapigwa chini

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Uchaguzi ndani ya vyama vyote kugombea uenyekiti ni mgumu kuliko urais sababu unatakiwa kuwa na network kubwa ndani ya chama kuku support upite uongozi wa chama

Lakini ugombea uraisi waweza okota kura za wajinga hapa na pale wanaoweza vutiwa na sura yako
 
Uchaguzi ndani ya vyama vyote kugombea uenyekiti ni mgumu kuliko uraisi sababu unatakiwa kuwa na network kubwa ndani ya chama kuku support upite uongozi wa chama

Lakini ugombea uraisi waweza okota kura za wajinga hapa na pale wanaoweza vutiwa na sura yako
Wewe pia ni zero
 
Vyovyote vile ana uwezo wa kuwa mwenyekiti tatizo ni ile dhana ya kiafrika ya power of leadership!.
 
Kwenye urais akigombea kura zake zitahujumiwa ndani ya chadema. Zikisoma laki moja zinaandikwa elfu moja. Si ameanza kwa kutukana!?

Na yeye akose, si katuona wajinga tuliojenga chama
 
Uchaguzi ndani ya vyama vyote kugombea uenyekiti ni mgumu kuliko urais sababu unatakiwa kuwa na network kubwa ndani ya chama kuku support upite uongozi wa chama

Lakini ugombea uraisi waweza okota kura za wajinga hapa na pale wanaoweza vutiwa na sura yako
Mada nyepesi sana hii. Kuongoza chama iwe ngumu kuliko nchi?
 
Back
Top Bottom