Lissu hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA hata kwa mwezi mmoja tu. Ataipasua na kuigawa kwa mdomo wake usio na breki

Acha kujishtukia hakuna aliyesema CCM wanamuogopa Lissu au mnamuogopa kweli.
Engage your brain before you open your mouth.
Hivi kwa vyama vyetu ambavyo hata bank account ipo kwenye jina la mwenye chama unadhani vina impact kwa serikali ya CCM?
Au leo mtu mmoja anaposema toka chama changu!!
Tumetaka utawala wa demokrasia sio wa vyama tu bali wa wananchi kwa ujumla.
Kwa lugha nyepesi uwakilishi wa kidemokrasia unaanzia kwa mtu mmoja mmoja hadi kwenye kikundi mnachoita chama.
Ina maana vyama pekee haviwezi kuwakilisha mawaoni ya kila mwananchi.
Hoja ya Mchungaji Mtikila ina mashiko na heshima kwa wananchi wa Jamhuri ya Tanzania.
Toka lini ulimsikia Lissu au Mbowe anatetea kuwepo mgombea binafsi?
Lissu hana tofauti na wale...anao watuhumu ni Gachagua wa Kenya tu.
 
Tarehe 21 kuna wakereketwa watalia humu,wabaki kuandika andika 😀😀

Tz ni zaidi ya Nchi
 
Umeshahamia Chadema ?
 
Atumie usomi wake wa kusheria tuone. Japo sio mwanasiasa ila atajifunza, ni mtendaji mzuri
 
Eti wenyewe chadema ndio wanampenda eti. Wanashangaa we vinakuhusu nini kila kukicha mambo ya Lissu na chadema siku hizi?

Wanauliza eti unaenda kuthibitisha jina la makamo mwenyekiti bara? Mnaendaje kuthibitisha jina la mtu msiyemjua mnaenda kukutia jina ndani ya chumba cha mkutano! Haipaswi angalau wajumbe wamjue hata mwenye kujiridhisha na vetting afanye?
 
Leo umekua CHADEMA....Naona mnatumia nguvu kubwa kumtetea yule jamaa mlimyeshika matter core mkamlambisha asali ili muendee kumcontrol....shame on you CHAWA.
 
Kila mwana CHADEMA mwenye akili Timamu na anayejitambua anatambua ya kuwa ni Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Mbowe ndiye mwenye uwezo wa kuiongoza CHADEMA kwa sasa akisaidiwa kwa karibu na Mheshimiwa Wenje.
Uwooongo hiyoooo!! Uwoooongooo!
 
We kanengulie wanaume huko Dodoma, mambo ya kiumeni huyawezi
 
Hivi wewe jamaa unaishi kwa kuandika hizi kamasi humu?
 
Hatutaki ramli.Lissu ndie mwenyekiti ajae,hamtaki mtageuka TLP..
 
Hembu kachambe unatuletea harufu za nyaa hapa
 
Wewe chawa inakuhusu nini Chadema kupasuka?! Nini hasa kinakuuma kwa Chadema kusambaratika?! Hutaki waje waunge juhudi?
 
Mbona watu aina ya bashite na chalamila kwenye chama Cha mbogamboga mmewapa nyadhifa kubwa?
 
Soon utapasuka koo ,maana kutwa kucha ni wewe na Lisu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…