BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Labda marekani ya huko kijjn kwenuMimi naweza kuiongoza Hata Marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda marekani ya huko kijjn kwenuMimi naweza kuiongoza Hata Marekani
YOU'RE A SUCKERNdugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Basi ndani ya hicho chama hakuna anaefaa, ulishawahi kujiuliza huyo mchaga akifa hicho chama kitaongoza na nani kama TAL hafai. Na kama ni hivyo kwanini mchaga asiachie chama vijana wakiongoze anang'ang'ania madarakani . Je, demokrasia anayoipigania mfano wake upo wapi ikiwa yeye mwenyewe hataki kung'atuka?Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nalima mahindi.Unalima mauchawa
Naomba uka sikilize mdaharo wa mwanahabar CHIEF ODEMBA na huyu jamaa alikuwa pamoja na yeriko. Ndio utatambua kuwa uyu jamaa Hana akili na Hana sifa ya kuwa kiongozi pia ana uwezo mdogo wa kujibu hoja..
Kalime acha kuandika nyuzi za kifala hapa. Kalime kaka msimu huu utoboe life sio kusifia sifia watuNalima mahindi.
Na wewe nenda ukalimeKalime acha kuandika nyuzi za kifala hapa. Kalime kaka msimu huu utoboe life sio kusifia sifia watu
Mdomo wenye break pelekea wazazi wako kwenuuu...Mbona magufuli alikuwa mropokaji Hadi kuua watu ikulu Hukusema...uadilifu WA Lisu unawapasua vichwawakati
alikataliwa
Halafu huyo kunguni alipandisha thread zote hizo 40+ kwa ujira wa elfu saba!aibu iliyoje mtu anajidhalilisha jukwaani humu kwa kulipwa peanuts.Lucas Mwashamba, huu ni mtiririko wa thread ulizoanzisha kuhusu Lissu/Chadema ndani ya siku 30. Obsession ni ugonjwa na unatabika.
Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.
Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama
CCM Itavuna na kupokea Viongozi wengi Sana waandamizi na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika kwa uchaguzi wake Mapema Mwakani
Uchaguzi 2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo
Pendekezo: John Heche chukua fomu ya kungombea wenyekiti Taifa (CHADEMA) Lissu na Mbowe wote wapigwe chini
Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni
Uchaguzi 2025 Nape Nnauye amtabiri mshindi wa Uenyekiti wa CHADEMA Taifa bila goli la mkono
Uchaguzi 2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii
Uchaguzi 2025 TAKUKURU kuchunguza madai ya Rushwa ndani ya CHADEMA
Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya
CHADEMA Wazikana Kauli za Baraza la Wazee kwa kusema siyo Msimamo wa chama
Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo
Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?
Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?
Uchaguzi 2025 LGE2024 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM
Uchaguzi 2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake
Uchaguzi 2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu
Uchaguzi 2025 CHADEMA Wamekata tamaa ya Siasa na kuna uwezekano wa kushindwa kushiriki Uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa visingizio Dhaifu.
Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.
Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto
LGE2024 Lissu Alitaka CHADEMA Ishinde uchaguzi Kupitia Kura ya Nani Wakati yeye Mwenyewe Hakupiga Kura?
Baada ya Kumalizika Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA Lissu Atahama na kuondoka Zake
Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi
CHADEMA iache mara moja kuwadhalilisha watia nia, huu siyo uungwana
Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi
Uchaguzi 2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Mbowe Jabali wa Siasa za Upinzani awabubujisha machozi ya furaha CHADEMA mitaani utafikiri wamekamuliwa vitunguu vibichi machoni
Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu
Uchaguzi 2025 Naishauri CHADEMA imchukulie Lissu hatua kali sana za kinidhamu na kumpa onyo kali kwa kukichafua Chama na kuwapaka Matope viongozi wenzake
Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?
Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa
Mbowe alijua Lissu hana uwezo wa kuwa Rais wa Nchi hii, ndiyo Maana hakuzunguka kumnadi kama alivyomnadi Hayati Lowassa 2015
Uchaguzi 2025 LGE2024 Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Tundu Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura
Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?
Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo
Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama
Lissu Anaungwa Mkono na Watu Wababaishaji wasio na Ushawishi wala kukubalika kwa Jamii
Uchaguzi 2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai
Matukio makubwa yaliyotikisa Nchi kwa mwaka huu: Kifo cha Hayati Mwinyi na Lowassa. Kutenguliwa kwa January Makamba na Lissu Kugombea Uenyekiti
Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA
Na bado zingine
Njoo nikulime chawa wewe.Na wewe nenda ukalime
Silipwi .mimi ni msema kweli tuHalafu huyo kunguni alipandisha thread zote hizo 40+ kwa ujira wa elfu saba!aibu iliyoje mtu anajidhalilisha jukwaani humu kwa kulipwa peanuts.
Naona umechanganyikiwaMdomo wenye break pelekea wazazi wako kwenuuu...Mbona magufuli alikuwa mropokaji Hadi kuua watu ikulu Hukusema...uadilifu WA Lisu unawapasua vichwa
Sishangai,hiyo ni Kwa sababu huko Lumumba mmebaki watu aina hiyo na hao ndiyo mnaowategemeaNi kwasababu wana akili na upeo mkubwa sana.
Kunguni ambaye ni dalili ya uchafu kwenda na ukweli na usafi wapi na wapi?Silipwi .mimi ni msema kweli tu
Uamuzi wa nani awe au asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA, unafanyika Kizimkazi?Lissu hawezi kamwe na katu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA.hata yeye mwenyewe analijua hilo.
Hivi na wewe unafikiri kuna mwenye akili Timamu CHADEMA anayeweza kumpatia kura ya ndio lissu?Uamuzi wa nani awe au asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA, unafanyika Kizimkazi?
Mmefikia kiasi hicho cha kuwadharau Watanganyika?
Kwamba hawana hata uwezo wa kuamua nani anawafaa?
we black pussy akili yako inajua njia ya kwenda chooni tuNdugu zangu Watanzania,