Lissu hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA hata kwa mwezi mmoja tu. Ataipasua na kuigawa kwa mdomo wake usio na breki

YOU'RE A SUCKER
 
Basi ndani ya hicho chama hakuna anaefaa, ulishawahi kujiuliza huyo mchaga akifa hicho chama kitaongoza na nani kama TAL hafai. Na kama ni hivyo kwanini mchaga asiachie chama vijana wakiongoze anang'ang'ania madarakani . Je, demokrasia anayoipigania mfano wake upo wapi ikiwa yeye mwenyewe hataki kung'atuka?
 
Huyo mwamba na jabali la siasa ndio huyu uliyemtaja hapa wewe kunguni wa mama Abdul?
 
Halafu huyo kunguni alipandisha thread zote hizo 40+ kwa ujira wa elfu saba!aibu iliyoje mtu anajidhalilisha jukwaani humu kwa kulipwa peanuts.
 
Lissu hawezi kamwe na katu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA.hata yeye mwenyewe analijua hilo.
Uamuzi wa nani awe au asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA, unafanyika Kizimkazi?
Mmefikia kiasi hicho cha kuwadharau Watanganyika?
Kwamba hawana hata uwezo wa kuamua nani anawafaa?
 
Uamuzi wa nani awe au asiwe Mwenyekiti wa CHADEMA, unafanyika Kizimkazi?
Mmefikia kiasi hicho cha kuwadharau Watanganyika?
Kwamba hawana hata uwezo wa kuamua nani anawafaa?
Hivi na wewe unafikiri kuna mwenye akili Timamu CHADEMA anayeweza kumpatia kura ya ndio lissu?
 
we black pussy akili yako inajua njia ya kwenda chooni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…