Noah Scribe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2024
- 578
- 1,436
Bowe must go 🚨
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mdomo wako pia hauna brekiNdugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.moaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kinachokutesa wewe ni chuki binafsi na ubaguzi tu. Acha mawazo ya kijinga.Tunataka chadema akae mtu mkali ili mama Abdul na miccm mienzie ijue kutumia vema rasilimali za nchi hii,
Tulimpata Magufuli japo alikuwa na mapungufu yake lakin angalau alithamini rasilimali za nchi.
Mama Abdul hakuna kitu anafanya maana kama ni watu bado wanapotea na kuuawa na rasilimali zetu bado zinapotelea kwa wajomba zake.
Nyie kama mnapenda sana huyo Mbowe wenu nendeni mkawe ma house girl's huko nyumbani kwake.
CCM itamuogopa vipi lissu wakati tulimgaragaza vibaya kwenye uchaguzi Mkuu?Ccm kwanini mnamuogopa Lissu? chadema ikifa kwa mdomo wa Lissu wewe si ndio furaha yako ?kutakuwa hakuna haja ya kuiba kura tena
Mama yako mama Abdul ameleta mabadiriko gani hapa nchini?Kinachokutesa wewe ni chuki binafsi na ubaguzi tu. Acha mawazo ya kijinga.
Kwani Mbowe ni CCM? Kwanini unashindwa kutumia vyema akili ulizopewa na Mungu? Au umeshikiwa akili na mtu?Unaonaje Mbowe akigombea nafasi ya mwenyekiti wa CCM, maana kwa sifa hizi anaonekana kuwa na uzoefu mkubwa sana🐼
Comrade,Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.moaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Nimeshayasema sana na kila mtanzania anayaona hata bila kuonyeshwa.ila wewe kwa sababu ni kipofu wa akili na macho ndio maana ndio maana huoni .maana upo tu kama hayawani.Mama yako mama Abdul ameleta mabadiriko gani hapa nchini?
Mbowe hukumgaragaza? mbona unataka awe Mwenyekiti? tulia Lissu awanyoosheCCM itamuogopa vipi lissu wakati tulimgaragaza vibaya kwenye uchaguzi Mkuu?
Yaseme hapa ili na mimi niyaoneNimeshayasema sana na kila mtanzania anayaona hata bila kuonyeshwa.ila wewe kwa sababu ni kipofu wa akili na macho ndio maana ndio maana huoni .maana upo tu kama hayawani.
Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hizo ni propaganda tu. Moyoni mwako unacheka kwa machozi ya furaha.Ndugu zangu Watanzania,

Unafirwa weweNdugu zangu Watanzania,

Mbowe ana haki ya kuhamia CCM, Kwa umwamba wa siasa alionao ni vyema akakitumikia chama serious kama CCM akiwa mwenyekiti 🐒Kwani Mbowe ni CCM? Kwanini unashindwa kutumia vyema akili ulizopewa na Mungu? Au umeshikiwa akili na mtu?
Kwani akiipasua si ndio vizuri na nafuu kwa kijani kibichi basi ni vizuri achaguliwe ili kijifie kabisa au unasemaje lucas chawa?Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas Mwashamba, huu ni mtiririko wa thread ulizoanzisha kuhusu Lissu/Chadema ndani ya siku 30. Obsession ni ugonjwa na unatabika.Lissu hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA hata kwa mwezi mmoja tu. Ataipasua na kuigawa kwa mdomo wake usio na breki
You're a sucker !Ndugu zangu Watanzania,