Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Timu ya Tanganyika ya netiboli umeshindwa kwenda kwenye michuano kwa ukosefu wa pesa yeye akaenda kutoa pesa ya Tanganyika 50m kwa vijana wa ZanzibarTuwe makini sana na Samia, naona ana moto wa kutuuza kwa sababu hana uchungu na Tanganyika
Can you side with the coward person!? Samia ni chaguo sahihi!!Ndugai alipaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tangu mwanzo .
Samia anataka kui-ARABISHA nchi yetu.
Mwamba anaendeleaView attachment 2834091
Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba , Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu .
Amedai kwamba Watanzania hawana Mali zingine zaidi ya hizi zinazogawiwa kwa wanaoitwa Wawekezaji , hivyo ni lazima mikataba yake ianikwe bila kificho
Toa Maoni yako
Ndugai bwana.....alikosamtonyoNdugai alipaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tangu mwanzo .
Samia anataka kui-ARABISHA nchi yetu.
Huu ndo ukweli ambao kwa bahat mbaya hata wabara wameamua kwa njaa zao kushirikiana naye.Tuwe makini sana na Samia, naona ana moto wa kutuuza kwa sababu hana uchungu na Tanganyika
Mwambukusi anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa watanzani woote,Niwaambie ukweli,nchi yetu inahitaji viongozi sampuli ya mwambukusi.ukimtazama harakaharaka ni kama utaona mtu furani mbabe au mkorofi.mwambukusi ana kaumagufuli furani hivi.Wakili msomi Mwabukusi
Kuna siku inakuja,siku itakayokuja kuudhibitisha upumbavu wako.Uzi wa kipuuzi kabisa huu, Hon. Samiah ndiye rais mpaka 2030.
=====================
DaaahTimu ya Tanganyika ya netiboli umeshindwa kwenda kwenye michuano kwa ukosefu wa pesa yeye akaenda kutoa pesa ya Tanganyika 50m kwa vijana wa Zanzibar
Hayalisu asijidai mjuaji