Lissu hawezi kufanya kazi na kiongozi mwingine yeyote ukiondoa Mbowe

Lissu hawezi kufanya kazi na kiongozi mwingine yeyote ukiondoa Mbowe

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote.

1. Hawezi kutunza siri
2. Kujiona too much know
3. Kujiona maarufu na uwezo baada ya shambulizi 2017.

Hii inamfanya Lissu hawezi kufanya kazi na yoyote mwengine
 
Wewe ukitunza siri inatosha, kwani kuwa , kwani kuwa much know ni kosa kisheria?, Halafu TAML alikuwa maarufu kabla ya 2017, ndo maana alishambuliwa kwa risasi. Ni hayo tu
 
Jaziba, much know, visasi, hamna subira, kifua cha siri hakipo, kukurupuka, ujasiri usio na self protection, hamna kuchuja maneno lolote likifika mdomoni kinatoka kama lilivyo.
sasa ndugu zangu huyu ndiyo wa kumpa chama kweli chama chenye wanachama zaidi ya 10m.
 
Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote.
1. Hawezi kutunza siri
2. Kujiona too much know
3. Kujiona maarufu na uwezo baada ya shambulizi 2017.
Hii inamfanya Lissu hawezi kufanya kazi na yoyote mwengine
Huko LEAT , na TLS ulifanya naye kazi wewe?
 
Hili wimbi la wapumbavu wanaompigia chapuo lisu uenyekiti hawana Nia njema na chadema.

Pamoja na madhaifu ya mbowe yote bado Ni muhimu Sana chadema. Tena nasema cdm wakijiroga kumpiga chini mbowe Basi chadema haina miaka miwili inakufa amini kwamba.
Nyinyi endeleeni kufata kelele za wajinga wasio na uelewa wa kumjua kiongozi makini mtakuja kuniambia.
Asilimia kubwa ya watu wanaompigia chapuo lisu ndio hao wanaomponda magufuli kila iitwapo leo. Na tunajua fika watu hao sio wema kwa nchi yetu Ni majambazi yanayotaka urahisi wa mambo yao ovu kupenya. Lkn mengine mengi Ni bendera fuata upepo. Ni watu wa dizaini gani waliopenda vibaya na kuchukia vizuri?

Mtajua wenyewe pumbavu zenu.
 
Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote.
1. Hawezi kutunza siri
2. Kujiona too much know
3. Kujiona maarufu na uwezo baada ya shambulizi 2017.
Hii inamfanya Lissu hawezi kufanya kazi na yoyote mwengine
Nyie team FAM bora mngekaa kimya maana kama mtu wenu amekuwa mwenyekiti miaka 21 halafu mnatumia nguvu nyingi kumpigia debe hivi, je angekuwa hajulikani mngefanyaje. Kama amefanya mazuri basi acheni mazuri yake yamtangaze mwenyewe. Kuendelea kumponda mpinzani wenu TAL ni kuzidi kuwapa watu attention juu yake na kuzidi kumpa umaarufu
 
Hata Mbowe kamvumilia tu muda wote
Lisu ni difficult character
 
Ukiondoa Mbowe ambae unafanya nae kazi miaka 20 kabla kuhadaiwa na mitandao ya kijamii huwezi kufanya kazi na mwengine yoyote.

1. Hawezi kutunza siri
2. Kujiona too much know
3. Kujiona maarufu na uwezo baada ya shambulizi 2017.

Hii inamfanya Lissu hawezi kufanya kazi na yoyote mwengine
Hawezi na ataivuruga CDM kweli kweli.
 
Kipindi Cha magu alishindwa kuupima upepo. Anaona kabisa kwamba kazi inayofanyika Ni njema lkn bado makelele, alikuwa anatafuta Nini zaidi ya kubamizwa?

Sababu sisi wenyewe pamoja na kwamba tulikuwa hatuipendi ccm lkn magu alitufanya kurudisha miguu yetu yote miwili ndani.

Kuwa upinzani haina maana kwamba kilakitu ukosoe utakuwa umepungukiwa kwa sababu Yale mambo ambayo unayalalamikia yakitimizwa kikamilifu Ni hoja ipi inayokuweka on trending zaidi yakukasirisha?

Kuna vijana wengi cdm wapo hot na wanauwezo na misimamo kuliko lisu ambaye hajafikia hata robo ya uwezo wa lema. Nakupigwa risasi haiwezi kuwa kigezo chakuomba huruma kwa watz ili kupata ridhaa Bali chadema wameishepu kwa mtindo wa uwezo wa ushawishi pamoja misimamo ya haki inayokipa chama kuwa namba mbili kwa nguvu nchini.
 
Back
Top Bottom