Lissu ni binadam wa pekee sana, tungekuwa na Lissu's kama 50 hv hapa nchini Taifa letu leo lingekuwa lavel za South Afrika kiuchumi, tungekuwa ndio ma-gant wa uchumi East and Central Afrika!.
Tz kamwe isingetawaliwa na viongozi kilaza kama huyu wa sasa, isingekubalika!.