Lissu Kaa pembeni waachie chama chao.

Lissu Kaa pembeni waachie chama chao.

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Kwa Sasa inavyoonekana hapo CHADEMA ni kwamba chama ni Mali ya mtu. Na yeyoyote atakaye taka kuwa mwenyekiti wa chama nje ya Mbowe lazima apopolewe mawe na kuitwa majina yote. Kwamba CHADEMA kipo kwaajili ya watu Fulani tu na wengine hawaruhiisiwi kushika uenyekiti.

Namshauri Kamanda Lissu waachie chama chao. Wafanye wanayotaka wao. Kaa pembeni iendelee na mambo yako ya sheria. Kwa Sasa CHADEMA wameshaingia kwenye mfumo wa CCM . Nilishangaa akina Lema , Mnyika, Wenye na Mbowe wanapiga kelele ya kwamba CHADEMA itashiriki uchaguzi, nikajiuliza CHADEMA inashirilije uchaguzi kwenye Mazingira Kama haya?. Jibu nimepata, walifanya hivyo Kwa maslahi yao. Achana na hicho chama kaa pembeni wafanye matakwa yao.

Ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom