Uchaguzi 2020 Lissu kaiangusha Chadema

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,683
Members I salute!

Ni hakika katika uchaguzi huu wa 2020 mgombea urais kupitia cdm atasababisha chama chake kuanguka vibaya sana kwenye sanduku la kura kwa zifuatazo:
1. Lisu hatumii akili ya ufahamu kwamba yuko kwenye kampeni ya urais Bali yeye anadhani yuko kwny kampeni ya ubunge jimboni.

2. Lisu hafafanue yaliyoandikwa kwny ilani ya chama chake badala yake anatumia muda mwingi kuongea ya kumshambulia mgombea wa ccm maneno ambayo hayajengi chama.

3. Lisu hana Lugha ya ushawishi kwa wapiga kura Bali ana lugha ya ushawishi kwa wasiowapiga kura.

4.Lisu hana kabisa ushawishi kwa kundi Fulani la watanzania ambao wengi wao ndio wapiga kura.

5. Siku zinayoyoma zinapungua hakuna cha maana alichoahidi kwa maslahi mapana ya Watanzania.

6.Ni kweli mkoa wa Songwe alipata mapokezi makubwa kuliko mikoa yote lakini wakati mwingine mapokezi siyo kura anatakiwa ashawishi wapiga kura kwa kunadi Sera ilani chama chake siyo porojo mara Magufuli hana cheti cha kuzaliwa wakati hata baba yake Lisu hana cheti cha kuzaliwa.

6.Mahusiano yake Na ACACIA ndiyo yatamnyima kura zingi sana
 
Huyo jamaa anahangaika na hoja za ajabu Sana. Anatafuta cheap popularity,ili hali watanzania wameamua kutafuta maendeleo tena kwa kujitegemea. Hiki Chama cha saccos, October hii lazima kipate funzo.
 
Pole mkuu lisu is our next presentation
Utajua hujui
 
Mtaweweseka sana, kama unaona na Bashiru ameweweseka, Lisu kawashika pabaya
 
Reactions: BAK
 
The best way to play defense is offense and that is what Lissu is doing to attack till the end.
 
Hizi ni akili na mawazo ya mtu ambaye huitegemea TBC kama chanzo pekee cha kupata habari ktk kujenga hoja zake. Basi sawa, huu ndio uhuru wenyewe wa kupashana habari hata kama hazina mashiko wala mantiki yoyote ile.
 
hahahaaaa hahahaaaa!!!

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…