Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Makonda ndio suspect namba ya watesi wa Lissu.Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili...
Lakini kwanza unakubali kuwa Makonda alimtapeli GSM nyumba?Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akil...
Not suspet ni muhusika mkuuMakonda ndio suspect namba ya watesi wa Lisu.
Hujui kitu kaa kimya, unaelewa maumivubya risasi karibu 30 mwilini?
Hili halijaisha, ipo siku haki itatendeka, waliokusudia kumuuwa Lisu watakumbana na mkono wa Sheria.
KabisaCheap politics ndio waTZ wanapenda.hakuna mTanzania(in general) mwenye attention span au upeo wa kukaa na kusikiliza mwanasiasa akielezea kipengele Hadi kipengele kwanini mkataba wa DP world ni WA kinyonyaji.walijaribu hilo na watu wameshasahau.
Acha apige huko huko maana kwenye Mambo ya kimbea hatujambo..siasa hizi za 'konde gang vs wcb', simba vs yanga ndio tunaziweza
Ni Makonda huyu huyu aliyepeleka ng'ombe wa supu pale jangwani? Iweje amtapeli amtapeli tajiri wa Uto kisha akatoe zawadi ya ng'ombe?Makonda alimtali GCM nyumba?
Ni hivi , ukishindwa vitu vidogo vikubwa huviwezi , lazima hawa mamluki dagaa washughulikiwe halafu ndio twende juuNimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili.
Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda naye atakuwa mwananchi wako. Hebu focus kwenye makubwa yanayolingana na hadhi ya Ikulu (Ufalme). Siasa za kina Makonda waachie kina Godbless Lema na wengine. Ishi siasa za kiuongozi wa nchi tofauti na hapo tutajua ni mpitaji tu wa kawaida. Fanya siasa za kikubwa. Ukinielewa sawa usiponielewa basi poleni Chadema.
Mkuu kulikuwa na ulazima wa kuandika "ALIYELEMAZWA" kwenye ujumbe wako?Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu.
Wa Korea Kaskazini una jingine?Rais gani ananyoa panki
Naomba kipande cha video (clip) kikionyesha Tundu Lissu akilumbana na Makonda.Nimeambiwa Mgombea Urais wa Chadema 2025 ni aliyelemazwa Tundu Lissu. Jamani nafasi ya Urais ni nyeti na ya juu mno. Ni nafasi inayohitaji utulivu, akili na usawaziko wa akili.
Lissu achana na hizi siasa za kulumbana na Paul Makonda kuhusu GSM ukidhani "umempiga". Kumbuka ukiwa Rais Makonda naye atakuwa mwananchi wako.
Hebu focus kwenye makubwa yanayolingana na hadhi ya Ikulu (Ufalme). Siasa za kina Makonda waachie kina Godbless Lema na wengine. Ishi siasa za kiuongozi wa nchi tofauti na hapo tutajua ni mpitaji tu wa kawaida. Fanya siasa za kikubwa. Ukinielewa sawa usiponielewa basi poleni Chadema.
Jamaa huwa unajivua chupi hadharani.Sijui huwa unataka nini?Rais gani ananyoa panki