Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 320
- 346
Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM
Kwa hali ilivyo,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa
Huenda CCM ikatumia nguvu kubwa kumzuia Lissu ikiamini ni kweli Lissu ni hatari kwa Taifa hili kumbe ni mbinu za Bwana Mwenyekiti katika kujipatia chochote toka CCM.
Vita ya team Mbowe ni kuhakikisha Lissu hagombei Urais kwa CHADEMA mwaka 2025 ili Bwana Mwenyekiti Mbowe agombee na aingie kwenye nusu mkate jambo ambalo litaiacha CHADEMA ikiwa vipande vipande.
|Lissu karibu CCM Upumzike huko CHADEMA unapambana na adui unayeishi nae CCM sio adui yako yaliyopita yamepita njoo tujenge Taifa letu |