Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi.
Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia cha kuunganisha Chama chao,hekima ya hali ya juu sana inahitajika wakati huu.
Ukiangalia Matokeo naona Chama kimepasuka katikati,hata Kamati Kuu yao imepasuka katikati nilisikia Wenyeviti wote wa Kanda ni wa Mbowe na Viongozi wa BAZECHA na BAWACHA ni Team Mbowe sijajua Matokeo ya wajumbe wa Kamati Kuu itakuwaje?
Kuna kazi kubwa sana ya kufanya, sitashangaa kumuona Mbowe akistaafu Siasa na kubaki na ujumbe wa Kamati Kuu pekee,Sijajua nafasi ya Mnyika bado itakuwaje.
Akina Mdee nadhani wataahirisha mipango yao ya kurudi CHADEMA.
Tuwaombee CHADEMA.
Povu linaruhusiwa.