Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Mwaka 2015 mgombea wa CHADEMA kwa nafasi ya urais aliapa na kwa kiwango kikubwa kuendesha kampeni za kistaarabu. Mgombea wa CCM kwa wakati ule nae aliahidi kuendesha kampeni za kistaarabu.
Kampeni zilivopamba Moto Moto na chama tawala kunusa harufu ya kushindwa CCM wakaanza. rafu kwa kumsema vibaya mgombea wa CHADEMA wakati huo EL. kuwa kajinyea na mengine mengi.
Mgombea wa CCM hakutoa matusi lakini watu wake wa karibu Kama Msukuma na Bulembo walitukana Kila walipopanda jukwaani. Inawezekana kuwa ni mkakati maalumu Kwamba sitoshambulia Ila ninyi shambulieni kwa niaba yangu.
Baada ya mashambulizi kutokufua dafu CCM wakajikita kwenye ukanda na Ukabila kwa kuhusisha machifu wa kisukuma katika kuhimiza mtoto wa nyumbani achaguliwe. Hapa CCM walifanikiwa sana. Mgombea wa CCM akasahau Kiswahili na muda mwingi akihubiri Kisukuma.
Yakaundwa makundi mengi ya Facebook na wassap ya Sukuma and Nyamwezi. Mengine yakihusisha na Gogo.
Kwa namna hiyo serekali na matendo na kauli zake pamoja na chama tawala vinaakisi mazingira ya kampeni za kikabila na kikanda za 2015.
Mwaka huu hayo Mambo yapo. Kauli za wao na sie zipo, watoto wangu washibe Kwanza ndio wafuate wengine zipo. Matumizi ya lugha za jadi yapo, vikundi vya kiutamaduni na kiubaguzi vilikua mbioni kuanzishwa na Gwajima.
Silaha ya Ukabila na ukanda unafanya kazi sana kwa anayeitumia.
Ni vyema sana kuikabili hadharani lakini kwa maarifa makubwa na mifano ya kweli. Lisu na CHADEMA wasikae kimya kwa hili.
Wapaze sauti kukemea Ukabila kwa kutumia watu sahihi na njia sahihi. Kwa mfano Mnyika ambaye Ni mtu wa tamaduni za Kisukuma atumike kukemea hili.
Mwaka 2015 Lowassa alipozungumzia ulutheri kanisani Kwamba walutheri hawajawahi kuongoza hili taifa, CCM walimkabili vilivyo na kufanikiwa sana kumpunguzia Kasi. Ishu ya ulutheri ilimlegeza EL mpaka akaomba radhi.
Sasa CHADEMA pazeni sauti muwalegeze.