Uchaguzi 2020 Lissu kemea ukabila, kemea rushwa

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Mwaka 2015 mgombea wa CHADEMA kwa nafasi ya urais aliapa na kwa kiwango kikubwa kuendesha kampeni za kistaarabu. Mgombea wa CCM kwa wakati ule nae aliahidi kuendesha kampeni za kistaarabu.

Kampeni zilivopamba Moto Moto na chama tawala kunusa harufu ya kushindwa CCM wakaanza. rafu kwa kumsema vibaya mgombea wa CHADEMA wakati huo EL. kuwa kajinyea na mengine mengi.

Mgombea wa CCM hakutoa matusi lakini watu wake wa karibu Kama Msukuma na Bulembo walitukana Kila walipopanda jukwaani. Inawezekana kuwa ni mkakati maalumu Kwamba sitoshambulia Ila ninyi shambulieni kwa niaba yangu.

Baada ya mashambulizi kutokufua dafu CCM wakajikita kwenye ukanda na Ukabila kwa kuhusisha machifu wa kisukuma katika kuhimiza mtoto wa nyumbani achaguliwe. Hapa CCM walifanikiwa sana. Mgombea wa CCM akasahau Kiswahili na muda mwingi akihubiri Kisukuma.

Yakaundwa makundi mengi ya Facebook na wassap ya Sukuma and Nyamwezi. Mengine yakihusisha na Gogo.

Kwa namna hiyo serekali na matendo na kauli zake pamoja na chama tawala vinaakisi mazingira ya kampeni za kikabila na kikanda za 2015.

Mwaka huu hayo Mambo yapo. Kauli za wao na sie zipo, watoto wangu washibe Kwanza ndio wafuate wengine zipo. Matumizi ya lugha za jadi yapo, vikundi vya kiutamaduni na kiubaguzi vilikua mbioni kuanzishwa na Gwajima.

Silaha ya Ukabila na ukanda unafanya kazi sana kwa anayeitumia.

Ni vyema sana kuikabili hadharani lakini kwa maarifa makubwa na mifano ya kweli. Lisu na CHADEMA wasikae kimya kwa hili.

Wapaze sauti kukemea Ukabila kwa kutumia watu sahihi na njia sahihi. Kwa mfano Mnyika ambaye Ni mtu wa tamaduni za Kisukuma atumike kukemea hili.

Mwaka 2015 Lowassa alipozungumzia ulutheri kanisani Kwamba walutheri hawajawahi kuongoza hili taifa, CCM walimkabili vilivyo na kufanikiwa sana kumpunguzia Kasi. Ishu ya ulutheri ilimlegeza EL mpaka akaomba radhi.

Sasa CHADEMA pazeni sauti muwalegeze.
 
Ukabila umekuwa tatizo kubwa naona jinsi jiwe anayofanya kanda ya ziwa ni upuuzi mkubwa na haukubaliki. Jamani huyu mtu tusimchague kabisa anatuharibia taifa letu nzuri.
 
Sera hii ilikuwa ya saccos ya mambo ya majimbo, na cdm waliona watapata kura kanda ya ziwa na madini yao ya magharibi, kusini na gesi yao n.khiyo ilikuwa 2015
 
Sasa hivi ukabila unaratibiwa na kundi la machifu wa kabila la mgombea, wachungaji Kama Gwajima watu mashuhuri Kama kina Shigongo , viongozi wa jumuiya za chama kutoka kabila husika
 
Mimi naona anatekeleza sera ya saccos ambayo ilikuwa inataka kulinda rasilimali zinazotoka ktk kanda husika zisaidie sehemu husika kama lindi na mtwara gesi, kilimanjaro, na Mlima wao na kahawa Arusha na Manyara na mbuga za wanyama
Mwanza and the like madini na mazao yao
 
Hii sera ya ukabila Ni mbaya sana Nyere alionya sana kuwapa nchi kabila kubwa . Kiongozi hawezi kuheahimu wengine KWAKUWA ana kura za kutosha kwenye kabila lake
 
Mwaka 2015 mgombea wa CHADEMA kwa nafasi ya urais aliapa na kwa kiwango kikubwa kuendesha kampeni za kistaarabu. Mgombea wa CCM kwa wakati ule nae aliahidi kuendesha kampeni za kistaarabu.

Kampeni zilivopamba Moto Moto na chama tawala kunusa harufu ya kushindwa CCM wakaanza. rafu kwa kumsema vibaya mgombea wa CHADEMA wakati huo EL. kuwa kajinyea na mengine mengi.

Mgombea wa CCM hakutoa matusi lakini watu wake wa karibu Kama Msukuma na Bulembo walitukana Kila walipopanda jukwaani. Inawezekana kuwa ni mkakati maalumu Kwamba sitoshambulia Ila ninyi shambulieni kwa niaba yangu.

Baada ya mashambulizi kutokufua dafu CCM wakajikita kwenye ukanda na Ukabila kwa kuhusisha machifu wa kisukuma katika kuhimiza mtoto wa nyumbani achaguliwe. Hapa CCM walifanikiwa sana. Mgombea wa CCM akasahau Kiswahili na muda mwingi akihubiri Kisukuma.

Yakaundwa makundi mengi ya Facebook na wassap ya Sukuma and Nyamwezi. Mengine yakihusisha na Gogo.

Kwa namna hiyo serekali na matendo na kauli zake pamoja na chama tawala vinaakisi mazingira ya kampeni za kikabila na kikanda za 2015.

Mwaka huu hayo Mambo yapo. Kauli za wao na sie zipo, watoto wangu washibe Kwanza ndio wafuate wengine zipo. Matumizi ya lugha za jadi yapo, vikundi vya kiutamaduni na kiubaguzi vilikua mbioni kuanzishwa na Gwajima.

Silaha ya Ukabila na ukanda unafanya kazi sana kwa anayeitumia.

Ni vyema sana kuikabili hadharani lakini kwa maarifa makubwa na mifano ya kweli. Lisu na CHADEMA wasikae kimya kwa hili.

Wapaze sauti kukemea Ukabila kwa kutumia watu sahihi na njia sahihi. Kwa mfano Mnyika ambaye Ni mtu wa tamaduni za Kisukuma atumike kukemea hili.

Mwaka 2015 Lowassa alipozungumzia ulutheri kanisani Kwamba walutheri hawajawahi kuongoza hili taifa, CCM walimkabili vilivyo na kufanikiwa sana kumpunguzia Kasi. Ishu ya ulutheri ilimlegeza EL mpaka akaomba radhi.

Sasa CHADEMA pazeni sauti muwalegeze.
Hukumsikia huyo Lisu wako akihutubia kwa Kinyaturu alipokua Singida na wanyaturu wenzake, au?
 
CCM ni washindani dhaifu ktk uchaguzi wa mwaka huu. CDM na ACT Wazalendo ni lazima wawababanishe kimkakati ktk nafasi zote za uwakilishi kwa mwaka huu. CCM bila Kambarage ama Mkapa ni sawa na unyoya tu.
 
Mwambie na yeye aache kuongea kiswahili chenye rafudhi ya kinyatulu.

Au mwambieni na yeye awahamasishe wanyatulu, kwani hawawezi kumshindisha uraisi?
 
Hujielewi, itakuwa hauko sawa. Ukiwa sober kesho uje usome huu uzi tena
 
Hii sera ya ukabila Ni mbaya sana Nyere alionya sana kuwapa nchi kabila kubwa . Kiongozi hawezi kuheahimu wengine KWAKUWA ana kura za kutosha kwenye kabila lake
Nini kimeleteleza hali hii?? Na huyo unayemsema ni kabila gani?
 
CCM ni washindani dhaifu ktk uchaguzi wa mwaka huu. CDM na ACT Wazalendo ni lazima wawababanishe kimkakati ktk nafasi zote za uwakilishi kwa mwaka huu. CCM bila Kambarage ama Mkapa ni sawa na unyoya tu.
Hao washindani uliowataja wapo mahututi, mmoja kwenye mikutano yake anatembeza bakuli tu badala ya kusema Sera. Poleni Sana.
 
Mwaka 2015 mgombea wa CHADEMA kwa nafasi ya urais aliapa na kwa kiwango kikubwa kuendesha kampeni za kistaarabu. Mgombea wa CCM kwa wakati ule nae aliahidi kuendesha kampeni za kistaarabu.

Kampeni zilivopamba Moto Moto na chama tawala kunusa harufu ya kushindwa CCM wakaanza. rafu kwa kumsema vibaya mgombea wa CHADEMA wakati huo EL. kuwa kajinyea na mengine mengi.

Mgombea wa CCM hakutoa matusi lakini watu wake wa karibu Kama Msukuma na Bulembo walitukana Kila walipopanda jukwaani. Inawezekana kuwa ni mkakati maalumu Kwamba sitoshambulia Ila ninyi shambulieni kwa niaba yangu.

Baada ya mashambulizi kutokufua dafu CCM wakajikita kwenye ukanda na Ukabila kwa kuhusisha machifu wa kisukuma katika kuhimiza mtoto wa nyumbani achaguliwe. Hapa CCM walifanikiwa sana. Mgombea wa CCM akasahau Kiswahili na muda mwingi akihubiri Kisukuma.

Yakaundwa makundi mengi ya Facebook na wassap ya Sukuma and Nyamwezi. Mengine yakihusisha na Gogo.

Kwa namna hiyo serekali na matendo na kauli zake pamoja na chama tawala vinaakisi mazingira ya kampeni za kikabila na kikanda za 2015.

Mwaka huu hayo Mambo yapo. Kauli za wao na sie zipo, watoto wangu washibe Kwanza ndio wafuate wengine zipo. Matumizi ya lugha za jadi yapo, vikundi vya kiutamaduni na kiubaguzi vilikua mbioni kuanzishwa na Gwajima.

Silaha ya Ukabila na ukanda unafanya kazi sana kwa anayeitumia.

Ni vyema sana kuikabili hadharani lakini kwa maarifa makubwa na mifano ya kweli. Lisu na CHADEMA wasikae kimya kwa hili.

Wapaze sauti kukemea Ukabila kwa kutumia watu sahihi na njia sahihi. Kwa mfano Mnyika ambaye Ni mtu wa tamaduni za Kisukuma atumike kukemea hili.

Mwaka 2015 Lowassa alipozungumzia ulutheri kanisani Kwamba walutheri hawajawahi kuongoza hili taifa, CCM walimkabili vilivyo na kufanikiwa sana kumpunguzia Kasi. Ishu ya ulutheri ilimlegeza EL mpaka akaomba radhi.

Sasa CHADEMA pazeni sauti muwalegeze.
Magufuli Mzalendo hasa. Asiwasiliane na wapiga kura wake kwa lugha wanayoielewa?. Mwambie Lissu amwage Sera,sio kulalamika na kutafuta vitu vya kusingizia hapa.
 
Ni kweli wagombea wanaongea kirugha jukwaani, nguruwe mnyama anapigwa denda na ngamia mnyama waziwazi.
 
Back
Top Bottom