Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

Zile milioni hamsini kila kijiji mlipata? Laptop kwa kila mwalimu zilitoka? Mnapenda sana kudanganywa ndiyo maana mijitu mizima inakenua na kusema mitano tena, upuuzi mtupu.
 
Wewe mbona una kwako kwa miaka Mingi Sasa lakini bado huwezi kuilisha familia yako tu Milo mitatu kwa Siku?

Watanzania punguzeni unafiki.
Alishawahi kukupiga mzinga? Kama wewe nanga imepaa unafikiri kila mtu yuko kama wewe.
 
Hata wakoloni walijenga lami wee zezeta.
 
Inatafutwa tiba mujarabu,kwa magonjwa sugu yanayolikabili taifa ,mengine ni mtetemko.
 
Uk au USA wanavyojenga infrastructure, ni watu wanaamua au serikali iliyopo
 
Umeambiwa kwanza uhuru haki namaendeleo yawatu ndipo vingine vitafata siku 100 zakwanza katiba mpya na stahiki zawatumishi pia wahanga mbalimbali kamavile wavuvi bomoabomoa vyeti feki kila mtu kulipwa stahiki zake sasa wewe unatuletea mambo yalami aliyafanya mkoloni lakini alitunyima uhuru tulimfurusha
Kwakuwa hata utengenezewe hyper lop kama huna uhuru nisawa na mavi yambweha
Eti hakuzungumza ufisadi kasema uwanja chato mandege ufisadi mtupu yeye namwipwa wake heri jems kumbe husikii acha uzwazwa
 
Tatizo ameshupalia kuiponda ccm akisahau popote aendako anatakiwa awe amepewa matatizo ya hiyo sehemu na yeye atawafanyia nini raia...its simple, Tundu Lissu he's an amateur, bado sana sana...a small fish in a big pond, kazidiwa..FACT..
 
Atalwambia "ujenzi wa barabara si kazi ya serikali" bali kazi ya serikali ni "kuleta haki na kuachia mahabusu"
 
1. Ameahidi kuweka rehani madini.
2. Ameahidi kuifanya nchi kuwa ya kishoga.
3. Ameahidi kuigawa nchi vipandevipande.
Kama huo ndo uwezo wake wa kufikiri + matusi kwa wingi, unataka aahidi nini zaidi?

Magufuli kila akipita anaahidi ngono tu. Ona jana Karatu. Ujinga wajinga tuuu
 
1. Ameahidi kuweka rehani madini.
2. Ameahidi kuifanya nchi kuwa ya kishoga.
3. Ameahidi kuigawa nchi vipandevipande.
Kama huo ndo uwezo wake wa kufikiri + matusi kwa wingi, unataka aahidi nini zaidi?
Binafsi moyo huwa unapata joto Kali ninapoona kijana amezeshwa ujinga nayeye bila kuutafakari kwamba watawala wanamtumia ili waendelee kujengeana majumba licha yakuibiia Nchi nawewe unaishia kupewa elf 7 tu AMKA ndugu utaishia kuwa Punching bag la watawala
 
Utatoeje ahadi ya ndege au barabara ya lami wakati huyo unaye muhutibia hata kusafiri kutoka hapo alipo hawezi?
 
Wewe ni bumunda kweli? shule ,Barabala,/miundo mbinu,siyo vitu vya kuahidi .Hata Raisi angekuwa kingwendu lazima vingejengwa tu?
Ni mshamba peke yake anaweza kupanda jukwani na akasema nitawajengea Barabala au shule au majengo ya zahanati.

Kina Trump wapo kwanye kampeni,umeona anaahidi kujenga au kutembea na kundi la waigizaji wenye njaa?
 

Inasikitisha sana. Watu wanafikiri maana ya “sera” ni kusema “tutajenga barabara, reli, viwanja vya ndege, mahospitali, mashule, tutanunua ndege, n.k. tena kwa pesa zetu!”?

Hawajui kuwa sera maana yake halisi ni mikakati mikubwa ya kuhakikisha jinsi ya kuongeza ukuaji wa uchumi kwa rasilimali za nchi na kuwezesha upatikanaji wa huduma za kisasa za kijamii kwa gharama nafuu kwa wananchi wote. Hapo ndipo ilipo “connection” ya miundombinu na maendeleo ya watu. Ujenzi wa miundombinu lazima uwianishwe na uwe sehemu ya mikakati hiyo.

Si suala la mtu kuamka na kusema tunajenga hiki, kile, pesa tunazo! That’s too crude. Wananchi wanataka kusikia maisha yao yataboreshwaje.

Ujenzi wa miundombinu hautakuwa na maana yoyote kama hautaweza kutafsiriwa katika maendeleo na maisha bora kwa wananchi. Utabakia kuwa uchochoro wa ufisadi mkubwa wa rasilimali za taifa. Marekani na Ulaya wanapojadili bajeti zao huwa wanakuwa makini sana na miradi hiyo kwani wanajua mafisadi na wanaotafuta umaarufu mrahisirahisi wanakimbilia miradi ya aina hiyo ambayo mwishowe inaweza kila hela kubwa bila kuwa na tija kwenye uchumi.
 
Nchi zilizoendelea hazitoi ahadi za lami, wajibu wa serikali yoyote hata ya mkoloni ni kujenga miundombinu, hii ni lazima ndiyo sababu mkoloni alijenga miundombinu ya barabara nchi mzima na kuweka meli kwenye ziwa Tanganyika na Vikitoria ambazo mpaka leo zinatumia, na alinunua ndege. Yote hata mkoloni aliyafanya bila kuweka ahadi ila alitimiza kama ni wajibu wa serikali yake kutokana na kodi anazokusanya. Ahadi zinazotakiwa ni za utoaji wa huduma za afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi na vinginevyo vinavyowahusu wananchi moja kwa moja, jiulize ulaya utaweka ahadi ya kujenga nini ambacho watu watakupigia makofi! Na chaguzi zinafanyika kama huku, ufinyu wetu wa kupambanua mambo ndiyo unatufanya tuone wagombea wanatoa ahadi za kujenga barabara wakati ni jukumu la lazima la serikali.
 
Hakuna mgombea mwenye kujielewa atakayetoa ahadi za barabara kwa sababu ni dhahiri.

Hakuna Serikali yoyote Duniani isiyojenga barabara. Hivi mzazi anaweza kumwahidi mwanae asiyefikia uwezo wa kujitegemea kuwa atampa chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipango ya Barabara ijengwe wapi na km ngapi, si kazi ya wanasiasa. Ni kazi ya wataalamu wanaolipwa kwa kazi hizo. Lissu kajikita katika kurekebisha mifumo ambayo sisi CCM tumeiacha iumize wananchi muda mrefu kwa kuwa inatubeba na imeshaota mizizi ndio maana wapinzani wanapata mambo ya kuongea.
 
Lile genge hata ilani halina, ahadi zote alizotoa mgombea wao ni kiini macho tu.
 
ILANI NDIO NINI? ILANI SIO KATIBA KWAMBA LAZIMA..
 
Mkuuu FICHA UJINGA WAKO.kwa mfumo wa kisiasa wa majimbo Rais hawezi kuwa na ahadi za barabara.

Barabara zooote zinakuwa chini ya wananchi.

Kwani huyo jiwe anaehaidi barabara si hadi apate kodi zetu wananchi.

USIJE UKAZANI JIWE ANA HELA HATA 200 ZILE NI KODI ZETU WANANCHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…