Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

Msaliti wa Nchi anachojua ni kuongea kuwafurahisha Mabeberu
 
Mambo ya kujenga madaraja sijui mabarabara yalikuwa ni ya kudanganyia watu kwenye karne iliyopita lakini sio leo, hata wakoloni waliyajenga.

Ni mgombea mjinga aliyekosa hoja tu ndio bado anaongelea hayo mambo ambayo hata hivyo hajengi kwa hela zake.

Hatujawahi kusikia Trump wala Biden wakitamba eti watajenga au wamejenga mabarabara au madaraja, kwa ujumla ni ushamba tu huo.
 
Lami ya nini uku watu tunakufa kwenye viroba tunafungwa bila kosa lami ya nini ?Ccm mijinga sana yaan miaka 60 tuzungumzie lami?
 
Ungependa tuzungumzie nini kama Marekani wana zaidi ya miaka 200 ya uhuru wao bado wanazjngumzia maendelea ya infrustructure!
Marekani hakuna mpumbavu anayeweza kukupa kura kwa hoja ya kijinga hiyo eti umetumia fedha za wananchi kujengea barabara ndio wakupe kura, hakuna kitu kama hicho, haya ni mambo ya kudanganyia misukule kama nyie lkn sio sisi.
 
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Ahahahh
 
Kujenga bararabara za lami ni mmojawapo ya majukumu ya msingi ya serikali. Kwa nini upoteze muda kutaja kitu kilicho wazi?
Hawana akili watu wa Lumumba usishangae Ndo mana Tanzania ni masikini hivi. Watu wanajua kujenga barabara ni hisani 😂😂😂😂
 
Hiki ndicho alichokisema Ndugu yangu Machanda Mukandamijaji

Nami kumripoti humu jf
P

Unazeeka vibaya
 
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Nenda kapate elimu kidogo,nchi inajengwa na kodi za wananchi,kwa kufata mipango iliyowekwa chini ya Irani ya chama kitakachoshinda,
Sasa wewe kasome Irani ya chadema uelewe,hiyo Irani ndio itakuwa mwongozo kwa serikali kutenda Yale yanayotakiwa katika kila nyanja,elimu,miundombinu,afya,kilimo,biashara,uhuhusiano wa nje,nk.
Hakuna mgombea anayeingia ikulu na fungu la pesa,wagombea wanauza Irani zao tu.
 
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.

Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa hajui barabara nyingi kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu.

Pia Chadema kwa mara ya kwanza Hanna sehemu yoyote katika jukwaa lao walipoituhumu CCM kwa ufisadi, kweli mambo yanakimbia sana.
Ufisadi umeongelewa Sana na chadema

Vitambulisho vya machinga

1.5 trion

Ununuzi wa ndege

Ujenzi wa uwanja wa ndege chato
Ufisadi wa mifuko ya jamii nk
 
Screenshot_20201025_090321.jpg

Picha ina fikirisha sana
 
Kwa vile kuna kauli huumba, naombeni msinizeeshe vibaya, jee nifanye nini ili nizeeke vizuri?
P
Jiamini unaweza bila ya mbeleko ya ccm,
Unaheshikimika sana hapa jf,ulikuwa role mode wangu,sijasema usishabikie ccm au chama chochote,ila siyo mpaka kujipendekeza hivi,
Natamani kumuona Paschal wa miaka ya 2015 kurudi nyuma,yule alikuwa anajiamini,
 
Wanatoa ahadi 2,000 lakini wanatekeleza chini ya 1% ya hizo ahadi.
 
Kwa vile kuna kauli huumba, naombeni msinizeeshe vibaya, jee nifanye nini ili nizeek

Kwa vile kuna kauli huumba, naombeni msinizeeshe vibaya, jee nifanye nini ili nizeeke vizuri?
P
Screenshot_20201025_090321.jpg

Adi apo mzee alipo fikia bado anatamaa kama fisi lamba lamba na umri wake wapi na wapi bila shaka na wewe utafikia huku au zaidi ya hapa
 
Back
Top Bottom