Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

Maji kwanza.
 
Yaani ndugu zake Magufuli mnajadili miradi ya kumnufaisha Mayanga Construction!!
 
Pia wanajadili ushoga
 
Haki na Maendeleo = Kwa akili zako maendeleo ni nini? Hiyo habari km 1 ya lami ndio majivuno yanaoonekana ni jambo la kupiga kelele huko kwenu TZ, Kenya apo achlia mbali huku ulaya maendeleo ya barabara serikali hutimiza wajibu wake tu wala hakuna kelele sjui tumejenga km ngap wapi mpka wapi ni ujinga tu ulio huko kwenu, ndio mana Lissu hakupata shida kuzoa maelfu kwa malaki kwa mamilioni ya watanzania wanaomuunga mkono, sera za ccm ni za kizaman sana watu wamechoka na uhakika ni kwamba itawacost sana ccm tareh 28 october
 
Lisu is a victor
Your browser is not able to display this video.
 
Zile milioni hamsini kila kijiji mlipata? Laptop kwa kila mwalimu zilitoka? Mnapenda sana kudanganywa ndiyo maana mijitu mizima inakenua na kusema mitano tena, upuuzi mtupu.
Ni zaidi ya sh. milioni hamsini mambo yaliyofanyika huko vijijini.
 
ndo maana waTanzania wanakuwa masikini kwasababu ya CCM bara bara nyingi Sana zinajengwa na world bank. Pia barabara Ni wajibu wa serekali ata Kama serekali ingekuwa inaendeshwa kijeshi bila Chama bara bara lazima zijengwe.

Kuna mipango ya serekali na Kuna ilani ya Chama. Ata chama gani kishinde kuna barabara ziko ndani ya plan ya serekali lazima zijengwe.


TATIZO LENU HAPO LUMUMBA VLAZA HAMUWEZI KUTOFAUTISHA SEREKALI NA CHAMA. Ndo maana ata magari ya serekali Chama kinayatumia rasimali za serekali Chama inatumia.
 
Nonsense.
 
Bora hajahaidi lami kuna mgombea aliahidi viwanda ajabu akaenda kujenga airport kijijini kwao sasa sijui airport kama ni kiwanda sikuhizi..
 
Lissu ana nchi yake ya kufikirika kichwani.. Huyu ukimuweka field kwenye uhalisia hataweza chochote
 
Kuna vitu kama Afya, Barabara, Elimu, Maji, Umeme etc ni wajibu wa kiongozi kutekeleza hakuna haja ya kuahidi.

Kwanini umechaguliwa sasa kama ni mpkaa uahidi?

Miaka zaidi ya 60 ahadi, ujinga mtupu.

Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
 
Hakika wewe ni mjinga kuliko wajinga wote...
Kifupi tu ni kuwa ccm imetekwa na JPM na anaitumia kufanya ufisadi wa kutisha ambao TL ameuzungumzia mara nyingi sana!!
Kuhusu hoja ya ahadi; tatizo lako ni kuwa akili yako ni ndogo na dhaifu sana... Yaani ujenzi wa barabara na miradi mingine yote ya maji n.k ni wajibu wa serikali yoyote iliyopo madarakani... Na ni haki ya wananchi walipa kodi!!
Kumchagua kiongozi kwa sababu anamwaga ahadi fulani fulani ambazo kiutaratibu ni wajibu wake na haki ya wananchi ni uthibitisho wa udogo na udumavu wa akili!!
 
Marekani ilijenga barabara za kuunganisha majimbo yake kuanzia mwaka 1956. Karne kadhaa baada ya kuwa huru.
Marekani ilipata uhuru mwaka 1776 ukitoa mwaka 1956 unapata tofauti ya miaka 178 sisi 59 tuu ccm inapiga kazi kwelikweli mitano tena kwa jpm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…