Uchaguzi 2020 Lissu kiboko, anamaliza kampeni bila kutoa ahadi ya hata Kilomita 1 ya lami

umesoma katiba ya chadema na sera zao?!

si kila kitu akisemee jukwaani, alafu miaka 50+ bado unanzungumzia barabara za lami, maji na umeme kweli!

bro hii nchi inaitaji mifumo mizuri ili vyote tunavyovitaka vipatikane kwa wakati sahihi.

kwa miaka zaidi 50, CCM wameshindwa kutengeneza mfumo wa kuendesha Nchi.

Sisi baadhi ya wananchi tuna sema ccm inatosha tunaitaji mabadiliko ya kweli, ndo maana imani kubwa ipo kwa chadema na Tundu lissu.
 
Kuna Mwanasiasa anayeijua Tanzania na maeneo yake mpaka vijiji kumshinda Lissu??


Sasa uvijue Vijiji, Usijue barabara.



Siku nyingine Demu wako akikuumiza, ukija humu, nitawakumbusha wana Tukuache ujinyonge.
 
Haki na Maendeleo ni Mara 10000 ya hiyo mibarabara.KURA KWA LISSU
 
1. Ameahidi kuweka rehani madini.
2. Ameahidi kuifanya nchi kuwa ya kishoga.
3. Ameahidi kuigawa nchi vipandevipande.
Kama huo ndo uwezo wake wa kufikiri + matusi kwa wingi, unataka aahidi nini zaidi?
Hapo ni mkoa wa mtwara
Hayo ni maji yanatoka kwenye mabomba

Sasa si bora kuweka rehani madini nipate maji masafi?
 

Attachments

  • 2020-10-25 09.17.05.png
    575.2 KB · Views: 2
Acha unafkii wewe mzee ovyoo sana, umesoma lakini huja elimika.

akili kisoda.....ngoja tuitoe Ccm madarakani upate kukombolewa akili zako.

useless kabisa wewe. nyie ndo mnafanya wasomi wadharaulike kwa sababu ya watu kama wewe.

kwa akili zako unayejiita msomi, unadhani kujenga vitu ndo maendeleo ya watu.

shwain sana wewe msomi uliyeshikiwa akili na maendeleo ya vitu.
 
Mpe madongo yake lakini usimkosee heshima ni mzee wetu huyu mkuu japo Binafsi kani disappoint sana pia
 
Hii ndio Chadema sasa nimeelewa ndio maana ameahidi kufuta kodi bila kueleza vyanzo vya mapato
 
Nawe kumbe ni wa manzese! Nilikuwa nakuweka grade ya wasomi, kumbe ni hao hao!
 
Acha
Acha ubwege kwani kampeni ni km za lami? Kweli ccm imejaa mabwege watupu!
 
Hatuishi kwa lami Bali katika kila Neno linalotamkwa kwenye kinywa cha bwana..haleleuyaa
 
Nadhani ni uwezo mdogo wa kufikiri kudhani kwamba kila mwenye maoni au mtazamo tofauti na wako basi anafanya hivyo ili apate elfu 7. Hizo ni hoja za kitoto sana. You'll do better if you think outside the box!
 
Mnakunyagwa sumu..kutoa ahadi ni rushwa kasome sheria ya gharama za uchaguzi.unatakiwa tu ueleze yaliyo ktk ilani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…