Uchaguzi 2020 Lissu, Kiburi si maungwana!

Mwisho mtasema hata Kanisani asiende maana watu watayabasamu kwa furaha kumuona na kumsalimia.

Hivi nyie mmetiwa upofu ili NENO litimie au ni ujinga wenu wa asili?

Hamuwezi kujiuliza mbona kila mnalopanga baya LA kumzuia linaleta manufaa Mara mbili tofauti na mategemeo yenu?

Jana askofu Mwamakula amewaambia pale Kiluvya kuwa mnatengeneza ugumu kwa viongozi wa dini kama kutahitajika maridhiano baada ya uchaguzi.

Kwani hakuna ajuaye nani atashinda Urais. Akishinda Lissu jee? Haya manyanyaso mnayomfanyia mnategemea maridhiano yatakuwa mepesi? Maana Lissu ni mwanadamu ana kiwango cha uvumilivu na usamehevu.

JIEPUSHENI KUMCHOKOZA RAIS AJAYE
 
Lissu sasa hivi anawageni wengi nyumbani kwake kwenda sokoni kutafuta mahitaji ya wageni ni kitu Cha kawaida maana wanahitaji kula, kulala na kuvaa Mimi hapo sijaona hoja hapo. Na hata wengine kusafiri.
 
Lissu sasa hivi anawageni wengi nyumbani kwake kwenda sokoni kutafuta mahitaji ya wageni ni kitu Cha kawaida maana wanahitaji kula, kulala na kuvaa Mimi hapo sijaona hoja hapo. Na hata wengine kusafiri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba anawaageni wengi kwahiyo anafata mahitaji ...aisee this time kweli disco kaingia masai
 
Mbona mwandishi hajaweka namba yake ya simu, akumbukwe kwenye teuzi..?
 
Acha bangi mzee, mbona kuna sehemu Anko Magu anakuwa prezdaa na kwingine anakuwa mgombea?
 
#MitanoTenaKwaJPM.
MenukaJr.
Yoooooote uliyoyaandika, yamekuja kuharibiwa na ulivyo malizia!
Mwanzoni nilijua ni MUUNGWANA mmoja ameamua kumpa Lissu ushauri wa kumsaidia, kumbe ni TAGA/BUKU 7 lipo kazini!
 
JPM wisho wake oct 28. Rais ajaye ni Lissu. Lissu ni binadamu anahitaji mahitaji ya msingi lazima atoke mataga acheni wivu wa kijinga Lisu kawashika pabaya karoho kanawauma kweli ila hakuna namna
 
Si dhani analotenda kama ni kosa hata kidogo kutokana na nafasi yake katika jamii, kama mtu huru ambaye anamahitaji kama mtu mwingine hivyo hivyo nafasi yake ya uongozi ndani ya chama inampa wajibu wa kutekeleza majukumu fulani kwa kuwa hayaondolewi baada ya kuteuliwa kugombea.

Ndivyo hivyo hivyo hata kwa Rais wetu kwa kuwa ni rais kuna baadhi ya majukumu hawezi kuacha kutekeleza kwa kuwa ni mteuliwa au mgombea wa chama tawala lazima ayafanye tu.

Kwenye hoja zako naona umeonesha gap za kisheria ambazo zinatakiwa kifanyiwa kazi ili kizuia haya tunayoyaona yakiyendeka sasa.
 
Too long but rubbish. Ulitaka ajifungie ndani? Lissu ni public figure. Popote atapoenda hata kwa shughuli binafsi watu watamfata tuu

Acha kumdhalilisha Babako namna hiyo, hakuleta kiumbe hapa Duniani ili kije kiabudu na kutukuza Wanaume wengine, jipange na jiamini haujechelewa bado, ...
 
Ujinga na uharo mtu ,Majaliwa anafanya kampeni kwa mwamvuli wa mjumbe wa halmashauri kuu huku ni waziri mkuu na ni mtu mmoja ,anapofanya kampeni ni huyo huyo mmoja ni waziri mkuu pia ,Lissu akifanya the same ni nongwa ,hivi nye CCM mbona mna akili za kuku kiasi hivi
 
Mataga tulieni dawa iwaingie huyo ndiye Tundu Anti-ccm Lisu
 
Nchi hii vilaza wamezidi kuliko wakati wowote uliopita!
 
Ukisikia milio mingi namna hii wenye akili tunajua tayari mmekwisha
 
Mleta mada umetoa maelezo mazuri kabisa, TAL sio kwamba anshauriwa Bali anafanya maamuzi akiamini yeye anaijua sheria kuliko hata wale waliomfundisha, kisheria hayupo sahihi hata kidogo.

Chukulia mfano JESHI LA POLISI limshikilie TAL mgombea je utapatikana mwili wa TAL naibu mwenyekiti???? Jibu ni hapana Hivyo Basi ni makusudi ya kutafuta ubaya kwa jeshi la polisi na serikali kwa ujumla.

TAL anafanya makosa ya kitaalamu katika utafsiri wa sheria yaani ( statutory. Interpretation) na hapa hujiona yeye ndiye hutoa tafsiri iliyo sahihi.

Mwisho, ni wachache Sana wanaomuelewa TAL, na ni wengi saana wanaomuunga mkono, TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Jipige kifuani sema...mimi Sami O ni mjinga

Ivi nikwamba huwa mnasoma kwa unga unga, yaan akili ni kiduchu, ila unakomaa miaka namiakaa .

Mpaka unamiliki cheti ??? Kiuhalisia , unakua bado una ubongo ambao ni mziiiiito wenye kujaa matope, naivo unahitajika muda mwingi ili umuelewe Lissu.

Nakupa Mfano...Lissu alipomlalamikia Majaliwa kuzunguka nchi hii... Mlisema anazunguka kama mjumbe wa kamati kuu sijui nn nn????



Niishie hapo...WEWE NI TOPE ,TOPE LA KUFIGIA MINYOOOOO LIMEJAZA KICHWA NAHUKO ULIKO NDO KABISAAAA UNAZIDI KUA NA TOPEEEE KICHWAN LENYE UNAFIKI NDANI YAKE.


Makalio wee, bichwa Kubwa lkn ubongo topeee
 
Huyo JPM anapowaita kina Museveni,Mrithi wa Nkurunziza na Malawi president pia ni kampeni?Mbona ni kama Mh.Lissu anachofanya ndiyo kampeni lakini kwa JPM siyo kampeni?Hao POLISI wanaruhusiwa kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia?Kushiriki mikutano au kudai Haki kutendeka au kuzuia wizi wa kura kwa ulinzi shirikishi ni kosa linalostahili hukumu ya kupigwa na POLISI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…