Lissu,kisa moja kubwa

Lissu,kisa moja kubwa

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Mbowe alishaonyesha kila dalili ya kung'atuka.Gia imebadilika baada ya kauli tata za TL.
TL katoka Ulaya na wala hakufika ofisi za chams kwanza tuhuma kuwa hakuna maandalizi ya uchaguzi.
TL kama makamu Mwenyekiti,mwanasheria na mafia chams katoa tuhuma za rushes ambazo aidha angeacha mfumo wa chams ufanye kazi au angezipeleka mahakamani.
TL,mwanasheria aliyeshiriki kuondia ukomo wa uongozi .Leo anatumia kipande hicho kumpiga Mwenyekiti.
Matamko mengi ya TL yanaendana na ya Msigwa.Msingwa huyu aliyemtaja Kibao na Kibao akaondoka.
Ningependa TL awe Mwenyekiti lakini kwa haya anayofanya sasa nahisi atakiua ChamaHii ni Kenyatta na Ruto lkn wao ilikuwa serikali na si Chama
 
Sidhani kama iko hivyo. Mie nadhani mwelekeo ulikuwa TAL achukue fomu kama gheresha na kamanda azuge tu kwamba anaachia ngazi - haya yote yalifanyika kimkakati kwa lengo la kumweka jamaa mtu kati.

Maana yake kwenye umakamo hayumo na wala kwenye uenyekiti hatakuwemo baada ya ule mchakato wa boksi mwakani. Umeona hesabu hizo?

Hayo mengine yote ni visingizio tu. Ukitaka kumshushia mbwa kipigo, basi mpe kwanza jina baya.
 
Back
Top Bottom