Lissu kuachiwa Agosti 21?

Kwa Sasa sio hatia, je ana kesi ya kujibu? Hatia ni baadae akishaleta mashahidi wake. Halafu hatia inaandikwa kwenye hukumu lazima kuwe na grounds za kudhibitisha sio kutaja tu hatia.
 
Kama ana hatia tunataka anyongwe ili sheria ichukue mkondo wake vizuri
 
Bado Rupia naye atajitetea kama Lissu hakuna uhaini wa mtu mmoja
 
Ila afya ya akili ni tatizo. Kwa hivyo kualika waandishi wa habari ni uhaini?
 
Hatia Bado, mbona mna haraka hivyo?. Kwa Sasa wanaangalia kama Kuna kesi ya kujibu.
Sasa kama hawajaweza kuonyesha kama ana kesi ya kujibu wamnyonge haraka haraka yaishe. By the time anapata haki awe amekufa
 
Kwa Sasa sio hatia, je ana kesi ya kujibu? Hatia ni baadae akishaleta mashahidi wake. Halafu hatia inaandikwa kwenye hukumu lazima kuwe na grounds za kudhibitisha sio kutaja tu hatia.
Sawa sawa mkuu
Ila tunaamini busara inawatuma wasifike huko.
 
Mambo huwa hayako hivo, huwezi kumshitaki mtu kwa kosa hilo hilo lililotolewa uamuzi tayari
 
Kuna namna majaji wakikosa uadilifu wanaweza kusema kesi iendelee upande wa utetezi na kwamba hoja nyingi za upande wa mashtaka zitajibiwa kwenye hukumu. Prima facie case inakuwa established kwenye issue ndogo sana.

Ndio maana Lissu kwenye submission yake amejihami kwa hoja kadhaa akimaanisha kama hana kesi ya kujibu, shauri liishie hapo. Amenukuu Sheria na kesi kwenye hoja hii.

Kwa hiyo kazi iliyobaki sio nyepesi kivile.
 
Hawawezi kumwachia
 
Ila afya ya akili ni tatizo. Kwa hivyo kualika waandishi wa habari ni uhaini?
Kualika sio tatizo ila tatizo ni dhumuni la kikao
Kikao kile ajenda ilikuwa ni kupanga uasi na Lissu kama Mwenyekiti alitangazia kikao ni kweli tutafanya uasi na akasherehesha kwa kusema tutakinukisha vibaya mno.
 
Kimeumana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…