Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #101
Umessma ukweli, Hana tamaa na Hela angekuwa Mbowe anavuta mpunga chapSema lisu angekua ananunulika kama Yule Mgombea wa Upinzani wa Kenya, Mwaka huu angekua bilionea.
Maana, Kawashika pabaya.
Hela zote walizo wapa chaumwa wangempa yeye, Atulize Munkali
Mkuu,Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Lissu kwanza amwajibishe yule Mkuu wa Gereza aliyemkosesha kommunio.Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Ulivyo mpuuzi, yupo wapi leoKama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Umessma ukweli, Hana tamaa na Hela angekuwa Mbowe anavuta mpunga chap
Kwa hiyo nolle itapigwa kabla ya tarehe 15Kama kawaida nazidi kuwaletea habari za ndani kabisa.
Kesho Mweshimiwa Tundu Lissu, ataachiwa huru.
Siongezi neno.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Na lengo ilkua watu wapumue kwanza,TAML aka munyampaa anatakiwa awe huru ili aje kulichangamsha taifa.Tumeboeka sana munyampaa kuswekwa mung'anda kwa kusingiziwa.