Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Pafukapo moshi ujue kuna moto,

Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.

Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .

Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati, hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake, na katibu ni Dkt. Slaa.

Sisi tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!

CHADEMA na ife kabisa Act ichukue nafasi!
 
Mimi Mwashambwa Lucas Nasema acha wapinduane tu mpaka na ikibidi hata wagawane mbao ili kila mtu aende na mbao zake kwake kukokea moto kwa ajili ya kuota kupata joto.
Lisu, Mwabukusi, Dr Slaa, Mdude, Mimi hapo lazima Katiba mpya ipatikane kwa ajili ya Wajukuu zetu dadeki πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ”₯
 
Hizi harakati za kijinga sana,chadema haiyumbishwi kijinga hivyo
 
Mmmmmh
 

Weka bango hapa kwenye kibanda chako:

"Mganga maarufu kutoka Sumbawanga. Njoo nikutabirie nyota yako". Hutawakosa punguani wa kuwaokota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…