Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Katika vitu ccm wanatakiwa kuna macho ni Lisu asije kuwa mwenyekiti wa Chadema maana mtaisoma namba Lisu hana chakupoteza, Mbowe anabusara sana
 
Pafukapo moshi ujue kuna moto ,
za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.

Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .
Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati ,hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake ,na katibu ni dkt slaa.
Sis tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!
Chadema na ife kabisa Act ichukue nafasi!
Ndoto za mwewe kuwa kama kunguru ndiyo hizi.
 
Katika vitu ccm wanatakiwa kuna macho ni Lisu asije kuwa mwenyekiti wa Chadema maana mtaisoma namba Lisu hana chakupoteza, Mbowe anabusara sana
 
Katika vitu ccm wanatakiwa kuna macho ni Lisu asije kuwa mwenyekiti wa Chadema maana mtaisoma namba Lisu hana chakupoteza, Mbowe anabusara sana
 
Nililitarajia hili.

Ikifika msimu wa uchaguzi ni lazima drama zitokee.

Yote haya ni balance of power ina-take place.
 
Mnyukano wa hivi na kila mmoja akitaka ugali wa familia basi madhara yakitokea tunaamza kupiga ramli ooh atakuwa flani
Siasa za Africa zinatisha sana
 
Pafukapo moshi ujue kuna moto,

Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.

Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .

Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati, hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake, na katibu ni Dkt. Slaa.

Sisi tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!

Chadema na ife kabisa Act ichukue nafasi!
Kwa hiyo nyie maccm mmepanga mje na propaganda za kindezi namna hii Kisha moment wenyewe! Hovyo sana nyie.
 
Mbowe iache chadema itukomboe.huoni hadi watumishi wa umma wanalia hakuna nyongeza ya mishahara.
 
  • Thanks
Reactions: mky
Back
Top Bottom