Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko ulivyojibu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika
SIKIA BUSARA ZA NYERERE
Mwandishi wa habari alimuuliza Nyerere kuwa kuna habari/tetesi kuwa unataka kuipindia serikali ya Rais Mwinyi. Wakataka comment zake/ afafanue kuwa anataka kuipindua serikali ya Rais Mwinyi. Nyerere alichukia kuulizwa ujinga kama huo. AKAMJIBU HIVI/AKAMUULIZA SWALI HUYO MWANDISHI HIVI
"UKIAMBIWA KUWA MIMI NDIYE BABA YAKO UTAENDA KUANDIKA FRONT PAGE HABARI HIYO?"
na mkutano ukaisha hapo hapo 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
TAKE NOTE; Mpaka leo hakuna anyejua kwanini Knna alijiuzulu, haya ni mambo ya ndani. ukiyeweka hadharani utaleta mpasuko
All in all you have my support until then! Erythrocyte