Uchaguzi 2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2016
Posts
4,707
Reaction score
11,365
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.

Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?

Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?

Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.

Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.

Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
 
Asa kama anadai mpaka maiti ndo unashangaa akidai Mimba. Mpaka Sugu aliliongelea Bungeni lakini wapi.
Sasa anahimiza watu wafyatuane, huku yeye anabana tozo, awape ushirikiano wajifungue bure ili kutekeleza ahadi yake ya kufyatuana.
 
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.

Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?

Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?

Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.

Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.
Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
 
Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Mtoa mada kauliza maswali mazuri ambayo hata Mimi Bado Sina majibu, Sasa wewe badala ya kujibu au kusubili majibu unakuja na maneno ya maajabu ,hivi watu Kama nyie mtabadilika lini ,sio lazima kutoa maneno makali ndo ijulikane kwamba ni mfia chama au mpenzi wa ccm Jenga hoja, nyie watu wa ccm mnakwama wapi, tambua na chukua hatua mkuu
 
Ni kweli kabisa Mzazi akijifungua mtoto wa kiume anatozwa Tsh.50,000
Na akijifungua mtoto wa kike anatozwa T.sh. 30,000
🤣 🤣 🤣 Mimi ningeshauri wapime kwa kilo!!!
Hii ni moja ya maneno uongo tu kusogeza muda kabla ya kuanza kusema ule uongo mkuu wa "tumeibiwa kura".
Kwa kampeni za aina hii chama tawala hata kikiweka mbuzi agombee atashida tu.
 
Tozo hizo anazosema zinatozwa wapi na Nani? Hawa jamaa wameshaishiwa hoja kabisa sasa hili la tozo kalitoa wapi wakati wizara ya afya inatoa huduma bure kwa mama zetu wajawazito Kati ya wizara ambazo Magufuli kaongezea budget kubwa ni wizara ya fedha sasa nawashauri Chadema kwamba Kama wameushiwa hoja si lazima waendelee Hadi mwisho wanaweza kuishia tu hapa manake mbeleni wanakwenda kudhalilika zaidi
Lisemwalo lipo na Kama halipo laja ,watumishi wa afya hamwalipi vizuri wakati nyie mwapata mkitakacho ,then mwasema mmerudisha nidham kwa watumishi ,nasema Wenda haya ni madogo tunayosikia yawezekana yapo ya ajabu zaidi, mnawatesa Sana watumishi nao wanatafuta njia mbadala ya kufanya maisha yao yaende
 
🤣 🤣 🤣 Mimi ningeshauri wapime kwa kilo!!!
Hii ni moja ya maneno uongo tu kusogeza muda kabla ya kuanza kusema ule uongo mkuu wa "tumeibiwa kura".
Kwa kampeni za aina hii chama tawala hata kikiweka mbuzi agombee atashida tu.
Shida kubwa ya nyie walamba viatu ni ama hamjui au mmataka kuwafanya watu wajinga kwamba hawawezi kufuatilia mambo. Sisi siyo wajinga! Nenda kamwambie Magufuli kuwa watanzania wote siyo wajinga!
 
Back
Top Bottom