Nakuomba uniwekee hapa iyo ilani comrade. Nimekua naitafuta bila mafanikio na hata nyie makamanda nikiwaomba mnipe mmekua mkiingia mitini.Ungesoma ilani ya CDM usingeuliza hilo suali.
Ukitaka na ya ccm uniambie.Nakuomba uniwekee hapa iyo ilani comrade. Nimekua naitafuta bila mafanikio na hata nyie makamanda nikiwaomba mnipe mmekua mkiingia mitini.
Karibu sana comrade katika kuniletea ilani ya uchaguzi ya chadema.
Comrade nashukuru sana. Nikupongeze kwa kuwa kamanda wa kwanza kuweza kunipa ilani ya chadema.Ukitaka na ya ccm uniambie.
Uongo ndio sifa ya kwanza ya kuwa upinzaniKwa sheria ipi ya Afya?
A ha ha ha ilani ya ccm hakuna kitakachotelelezwa JPM kama akishinda atakuja na vipaumbele vyake vilivyoko nje ya ilani.Comrade nashukuru sana. Nikupongeze kwa kuwa kamanda wa kwanza kuweza kunipa ilani ya chadema.
Kuhusu ilani makini na inayotekelezeka ya ccm ninayo.
kweli kabisa vipi maoni yako wewe bavicha (Baraza la Vichaa) 🤣Ningeshangaa sana kumuona Uvccm anaongea point.
Hii ni kumaanisha binaadam wote si sawa?Ni kweli kabisa Mzazi akijifungua mtoto wa kiume anatozwa Tsh. 50,000
Na akijifungua mtoto wa kike anatozwa Tsh. 30,000
Comrade tulio wengi tuna imani kubwa sana jemedari Magufuli wala hatuoni utapeli unaousema.A ha ha ha ilani ya ccm hakuna kitakachotelelezwa JPM kama akishinda atakuja na vipaumbele vyake vilivyoko nje ya ilani.
Anadai wakati wake 2015/2020 ameweza kutoa ajira million 6. Na 2020/2025 atatoa ajira mill 8 . Wenye akili wote tunafaham huo niutapeli.
Kujitegemea kwa kutoza kodi ya mimba ?Watakae mpa huyu jamaa kura,watakuwa hawako Sawa kichwani.Kwa Sera gani alizonazo, maana kila mkutano ni kulalamika tu. Hatutaki taifa tegemezi, omba omba na lalamishi hapa. Tunataka taifa lenye kujitegemea kwa kupiga kazi tu.
CHADEMA kina wagombea 68 wanawake kwenye majimbo ya uchaguzi kama huku ndiyo udhalilishaji wa mama zako ni vyema ukapimwe akili.Kaanza lini kuhurumia wakina mama?. Saccos yao inaongoza kwa kuwazalilisha wamama zetu, ndio wapate nafasi kwenye uongozi chama.Mpaka mfichwe chini ya sketi ndio viti maalum vitoke shame on you. Watanzania, Oct tusifanye makosa.
Tatizo mnahangaika na wasindikizaji hawana sera wanakamilisha ratiba tu kuhalalisha matumizi ya pesa walizopewa na mabwana zao ulaya. Sii unajua wanauza sera za ushoga na usagaji kwa uhalisia na vitendoLissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?
Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?
Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.
Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.
Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
Anaye tetea haya,atupe taarifa chache,binafsi ili tuendelee na hoja yake.Je ameoa,au kuolewa?na je amebahatika kupata mtoto/watoto.?Shida kubwa ya nyie walamba viatu ni ama hamjui au mmataka kuwafanya watu wajinga kwamba hawawezi kufuatilia mambo. Sisi siyo wajinga! Nenda kamwambie Magufuli kuwa watanzania wote siyo wajinga!
Mkuu, hiyo avatar yako inanikumbusha machungu sana.JPM anadai tozo mpaka kwa wamama wajawazito, kweli hatufai huyu jamaa.
Pole mkuu ,tuendelee kumuenzi mdogo Akwelina.Mkuu, hiyo avatar yako inanikumbusha machungu sana.
Nikweli kodi ya uzazi ipo hata mkoani Tabora kinamama hulipishwa kodi baada ya kujifungua
Acheni upumbavu na kufikiri KILA kitu ni siasa, hivi mnafikiri sisi sio wazazi!?Mkuu kweli ma CCM sijui wanaishi dunia ipi, sikufaham kama dada, mama zetu wanatozwa tozo za ujauzito.
Uongo uko wapi mkuu hakuna tozo?. Ulizia hospital ya Kitete Tabora.Acheni upumbavu na kufikiri KILA kitu ni siasa, hivi mnafikiri sisi sio wazazi!?
Kadri mnavodanganya kwenye Mambo yanayoweza kuthibitishwa ndivo mnavoonekana wa AJABU.
Kampeni sio uongo wa kipumbavu
Tunazidi kumuenziPole mkuu ,tuendelee kumuenzi mdogo Akwelina.