2hery JF-Expert Member Joined May 27, 2011 Posts 4,700 Reaction score 4,625 Oct 1, 2020 #161 Agogwe said: Uongo ndio sifa ya kwanza ya kuwa upinzani Click to expand... vipi ndugu msemakweli, unaweza kuandika tena baada ya Rais kufuta hiyo tozo?
Agogwe said: Uongo ndio sifa ya kwanza ya kuwa upinzani Click to expand... vipi ndugu msemakweli, unaweza kuandika tena baada ya Rais kufuta hiyo tozo?
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Oct 1, 2020 Thread starter #162 2hery said: vipi ndugu msemakweli, unaweza kuandika tena baada ya Rais kufuta hiyo tozo? Click to expand... Akikujibu nitag mkuu wangu.
2hery said: vipi ndugu msemakweli, unaweza kuandika tena baada ya Rais kufuta hiyo tozo? Click to expand... Akikujibu nitag mkuu wangu.
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Oct 1, 2020 Thread starter #164 twindad said: Unaijua MAMA KOMANDOOView attachment 1586932 Click to expand... Huo niusanii wa Magu, inawezekana huko Mbeya imepewa hilo jina,lkn tozo zipo, nenda hospital ya KITETE TABORA mjamzito anatozwa baada yakujifungua na kiwango nihiohio elfu 50.
twindad said: Unaijua MAMA KOMANDOOView attachment 1586932 Click to expand... Huo niusanii wa Magu, inawezekana huko Mbeya imepewa hilo jina,lkn tozo zipo, nenda hospital ya KITETE TABORA mjamzito anatozwa baada yakujifungua na kiwango nihiohio elfu 50.
twindad Member Joined Feb 12, 2020 Posts 10 Reaction score 23 Oct 1, 2020 #165 Nani Anabisha Mpaka sasa Kua LISSU sio Baba Lao.. yeye anasema wengine Wanatekeleza Alichosema. Nan Raisi sasa mpaka Hapo?
Nani Anabisha Mpaka sasa Kua LISSU sio Baba Lao.. yeye anasema wengine Wanatekeleza Alichosema. Nan Raisi sasa mpaka Hapo?