Lissu, mabilioni mliyopewa katika chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) yaliishia wapi?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) .

Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na Hela ikaliwa.

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa ulifanyika ....ndugu yetu Lissu, hebu funguka ili upate moral authority kupambana na ufisadi
 
Mbona kwenye ripoti ya CAG hizo pesa hazipo!!
 
Acha upumbavu basi.hayo mabilioni ni yapi yalitolewq shiling ngapi za kitanzania,mwaka gani na nani?

Ukijibu hayo tutajua pa kuanza kujadili
 
Unaweza kuwa na hoja ya msingi kabisa ila uwasilishaji ukawa wa hovyo ebu tulia mkuu andika vizuri kwa fact na ushahidi kuliko kutumia hisia
 
Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) .

Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na Hela ikaliwa.

Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa ulifanyika ....ndugu yetu Lissu, hebu funguka ili upate moral authority kupambana na ufisadi
Kwani huoni anavyopambana na mafisadi ya Chamani Kwako,Hadi mwisho yakataka kumtoa roho🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom