Mbona kwenye ripoti ya CAG hizo pesa hazipo!!Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) .
Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na Hela ikaliwa.
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa ulifanyika ....ndugu yetu Lissu, hebu funguka ili upate moral authority kupambana na ufisadi
Sheria za jukwaa la jf zinasema uzushi haufai wewe weka ushahidi hapaUnataka kutafuniwa Kila kitu, utatafuniwa vingi
Kwani huoni anavyopambana na mafisadi ya Chamani Kwako,Hadi mwisho yakataka kumtoa roho๐๐๐Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) .