Pre GE2025 Lissu: Mbowe amesema mimi na wenzangu tutakiona cha mtemakuni akirejea madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakuu!

Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.

Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi

Heading na content ni tofauti
 
====
Katika mdahalo uliokimbiwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu akihojiwa katika Kituo cha runinga Cha Star TV amesema ya kuwa mpinzani wake anatishia ikwa atachaguliwa tena kwa mara ya tano basi atawashughulikia wapinzani wake yaani Lissu, Lemma na Heche.

Lissu amewashauri wajumbe wa Mkutano Mkuu kuamua huo ugomvi kwa kumchagua yeye kwani yeye hana visasi na atamlinda Mstaafu Mbowe kwa gharama zote na Wala sio kumwonesha Cha Mtema Kuni kama yeye anavyoahidi juu yao.

===
 
Wakuu!

Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.

Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi

Wajumbe plz msimpe Mbowe kura
 
Wakuu!

Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.

Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi

Mbowe kishalipwa na serikali kukisaliti chama chake ili kusiwe na upinzani. Toka atoke jela Mbowe kawa mtu wa hajabu sana, haaminiki na hata wenzake wanamkimbia kwani walishajuwa alilipwa na chama tawala kukisaliti chama chake.
 
====
Katika mdahalo uliokimbiwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu akihojiwa katika Kituo cha runinga Cha Star TV amesema ya kuwa mpinzani wake anatishia ikwa atachaguliwa tena kwa mara ya tano basi atawashughulikia wapinzani wake yaani Lissu, Lemma na Heche.

Lissu amewashauri wajumbe wa Mkutano Mkuu kuamua huo ugomvi kwa kumchagua yeye kwani yeye hana visasi na atamlinda Mstaafu Mbowe kwa gharama zote na Wala sio kumwonesha Cha Mtema Kuni kama yeye anavyoahidi juu yao.

===
ushahidi wa kuwa Mbowe kasema hivyo? Kumbe chiba ana matatizo ya akili. Watajuka (ambao bado ni wana chadema) kuongozwa na kichaa
 
Na mtaujuwa mpilipili na maua yake! 😁🤣😂😆
Wacha wauane!
 
Wakuu!

Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.

Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi

Ukisoma heading bila maudhui unaweza ukaingizwa chaka vibaya mno
 
====
Katika mdahalo uliokimbiwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu akihojiwa katika Kituo cha runinga Cha Star TV amesema ya kuwa mpinzani wake anatishia ikwa atachaguliwa tena kwa mara ya tano basi atawashughulikia wapinzani wake yaani Lissu, Lemma na Heche.

Lissu amewashauri wajumbe wa Mkutano Mkuu kuamua huo ugomvi kwa kumchagua yeye kwani yeye hana visasi na atamlinda Mstaafu Mbowe kwa gharama zote na Wala sio kumwonesha Cha Mtema Kuni kama yeye anavyoahidi juu yao.

===
Hii ni hatari
 
Back
Top Bottom