Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Heading na content ni tofautiWakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
Wajumbe plz msimpe Mbowe kuraWakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
Mbowe kishalipwa na serikali kukisaliti chama chake ili kusiwe na upinzani. Toka atoke jela Mbowe kawa mtu wa hajabu sana, haaminiki na hata wenzake wanamkimbia kwani walishajuwa alilipwa na chama tawala kukisaliti chama chake.Wakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
ushahidi wa kuwa Mbowe kasema hivyo? Kumbe chiba ana matatizo ya akili. Watajuka (ambao bado ni wana chadema) kuongozwa na kichaa====
Katika mdahalo uliokimbiwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu akihojiwa katika Kituo cha runinga Cha Star TV amesema ya kuwa mpinzani wake anatishia ikwa atachaguliwa tena kwa mara ya tano basi atawashughulikia wapinzani wake yaani Lissu, Lemma na Heche.
Lissu amewashauri wajumbe wa Mkutano Mkuu kuamua huo ugomvi kwa kumchagua yeye kwani yeye hana visasi na atamlinda Mstaafu Mbowe kwa gharama zote na Wala sio kumwonesha Cha Mtema Kuni kama yeye anavyoahidi juu yao.
===
Ukisoma heading bila maudhui unaweza ukaingizwa chaka vibaya mnoWakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya chama kuchunguza kiini cha rushwa pia atataka chama kiazimie kufuta rushwa, hatolipa visasi
Hii ni hatari====
Katika mdahalo uliokimbiwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu akihojiwa katika Kituo cha runinga Cha Star TV amesema ya kuwa mpinzani wake anatishia ikwa atachaguliwa tena kwa mara ya tano basi atawashughulikia wapinzani wake yaani Lissu, Lemma na Heche.
Lissu amewashauri wajumbe wa Mkutano Mkuu kuamua huo ugomvi kwa kumchagua yeye kwani yeye hana visasi na atamlinda Mstaafu Mbowe kwa gharama zote na Wala sio kumwonesha Cha Mtema Kuni kama yeye anavyoahidi juu yao.
===
MBOWE, acha mara moja siasa za visasiWakuu!