Lissu: Mbowe ameshapoteza Public opinion


Andiko refu sana ila linakosa misingi ya kidemokrasia.
Lisu ana sifa zote za kugombea, hivyo wacha agombee na sanduku la kura liamue. Hakuna ushindi wa mezani.
Mbona uongelei Cheyo, Dovutwa, Hashim wa ubwabwa etc.
Acheni mbwembwe za mitandaoni piga kampeini pata wajumbe wa kumpa kura kutosha TAL wako na siyo ngonjera za mitandaoni.
 

Well said 100%
 
Unataka maovu yaendelee kufichwa ili mwisho chama kife kabisa?
Watz wengi wanaona bora ccm kuliko hii chadema ya Mbowe iliyopoteza dira

CHADEMA ni imara kukiko jana kama hujui au uamini muulize TAL akiwa ametulia.
 
Mbowe kachoka sana
 
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…