Ms Billionaire JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,452 Reaction score 4,955 Feb 7, 2023 #101 Mwenzie alikua halali. Anatumbua funza saa tisa usiku hakuna mtu alikua analala kizembezembe. Lissu aendelee kubusu wazungu sisi tunataka rais machachari
Mwenzie alikua halali. Anatumbua funza saa tisa usiku hakuna mtu alikua analala kizembezembe. Lissu aendelee kubusu wazungu sisi tunataka rais machachari
Shujaa Nduna JF-Expert Member Joined Sep 8, 2022 Posts 599 Reaction score 487 Feb 8, 2023 #102 chiembe said: Shule ulikuwa unaenda kusomea ujinga? Click to expand... Jibu swali ndiyo mana mahakamani mnaanguka.
chiembe said: Shule ulikuwa unaenda kusomea ujinga? Click to expand... Jibu swali ndiyo mana mahakamani mnaanguka.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 8, 2023 Thread starter #103 Shujaa Nduna said: Jibu swali ndiyo mana mahakamani mnaanguka. Click to expand... Mahakama nilianguka?
Shujaa Nduna said: Jibu swali ndiyo mana mahakamani mnaanguka. Click to expand... Mahakama nilianguka?