Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya kutuhumiwa na wanachama wenzake kuwa ni mropokaji na kwamba hawezi kutunza siri za chama, Tundu Lissu leo ame-fire back.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Lissu amesema kuwa tuhuma za kwamba yeye ni mropokaji zilianza mara tu baada ya kuanza kupinga maridhiano kati ya CHADEMA na Rais Samia na kwamba inashangaza sana kuwa ameshika nafasi nyingi ndani ya CHADEMA lakini hoja za kuwa mropokaji zimeanza miezi 2 iliyopita