Lusungo Fundi Mchundo RetiredWakuu,
Baada ya kutuhumiwa na wanachama wenzake kuwa ni mropokaji na kwamba hawezi kutunza siri za chama, Tundu Lissu leo ame-fire back.
Lissu amesema kuwa tuhuma za kwamba yeye ni mropokaji zilianza mara tu baada ya kuanza kupinga maridhiano kati ya CHADEMA na Rais Samia na kwamba inashangaza sana kuwa ameshika nafasi nyingi ndani ya CHADEMA lakini hoja za kuwa mropokaji zimeanza miezi 2 iliyopita
View attachment 3204793
Lissu ni mhuni sana!! Sifa zitamponza! Kaonesha utoto sana.
Mlopokaji ni mlopokaji tuWakuu,
Baada ya kutuhumiwa na wanachama wenzake kuwa ni mropokaji na kwamba hawezi kutunza siri za chama, Tundu Lissu leo ame-fire back.
Lissu amesema kuwa tuhuma za kwamba yeye ni mropokaji zilianza mara tu baada ya kuanza kupinga maridhiano kati ya CHADEMA na Rais Samia na kwamba inashangaza sana kuwa ameshika nafasi nyingi ndani ya CHADEMA lakini hoja za kuwa mropokaji zimeanza miezi 2 iliyopita
Watu walikuwa wanampa benefit of the doubt. Ni hivi karibuni ndio ameonyesha kuwa yuko tayari kusema lolote lile hata kama yataathiri chama chake. Yeye na Msigwa ( hata akiwa bado CDM)wamefanya kazi nzuri zaidi ya kuibomoa CDM ( kwa kisingizio cha kumpa ukweli Mbowe) kuliko CCM. Hauchomi nyumba yako kwa sababu unahisi kuna nyoka ndani. Ki ukweli Lissu amewa disappoint watu wengi tu. Labda sio majority lakini wengi.